LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Kwa hiyo kama ni gambling unataka tufanyeje? Tuache au tuendelee maana naona unalalamika sana bila kutoa way forward. Hata hizo casino watu wanapiga hela ndio maana zipo kama watu wasingekuwa wanapiga hela hata hizo casino zisingekuwepo. Wewe kama uliingia kwenye fx ukidhani ni kwenda kuchota tu hela za bure pole.Ata niwe bilionea kwa fx bado tasema ni gambling ndo maana haina insurance mkuuu vp
Forex ipo wether ni betting/gambling kuna watu wanapiga hela na wengine wanapoteza kama ilivyo biashara nyingine yoyote. Wote hamuwezi kuwa winners at the same time in the same business. Hata masomo tunalipa ada lakini kuna wanaofeli na wanaofaulu. SIJAJUA POINT YAKO KUBWA HAPA NI IPI? TUACHE FX AU VIP?