Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

  • kwa sababu thats human to want more on something that happens rare
  • uhalisia ni kwamba as long unatrade kwa mt4 basi izo ndoto ulizonazo sahau na sio kwa ajabu, infact nchi nyingi zinazojielewa wameifunga retail forex trading infact hata marekan hawaruhusu kufanya retail forex trading, ni uku tu africa
USA cfd brokers hawapo na raia huwa hawaruhusiwi ku trade cfd Ila Kuna industry kubwa ya casino like last Vegas.

Pia hii wameikataza Ila raia wake Wana trade real underlying financial assets ambazo unaweka impact kwa uchumi wao like future and stocks.
Na hapo lazima Kuna tax , remember huku we don't own real financial assets but only speculating its price fluctuation.
Sasa ku trade stocks and future or options ambazo brokers wake wanakuwa regulated na mamlaka zao like Chicago board of merchantile exchange.
Pia futures trading wao wanazo apps zao hata investment in stocks Ila zote just apps za wewe mlaji kuweza kucheki information za price fluctuations so haina tofauti kuwa mt4 or tradovate, trade station,bar chart ,ninjatrader, Charles shwab , Ameritrade ,oanda, sofi invest , fidelity, ibkr, Robinhood, etc kuwa labda zina maajabu Ila still unapata price charts ili uweze kufanya decisions based on technical or fundamental analysis.
It's up to you. So sidhani Kama app Ni big ishu mno. Ishu kubwa Ni your brain how to play any games on this planet.
Kuna traders pia waliotoboa from zero kabisa like mark minervin
 
Hakuna trader ana mtaji kushinda Hedge funds na investment firms. Kusema kuwa una mtaji kuliko Hedge fund na Investment firms inaonesha kubwa haujui trading. Na hivyo basi unaendelea kuzurura na kupoteza muda katika maisha kwa kufanya forex. Bado utaendelea kujidanganya kwa sababu unataka kuamini kuwa Forex inaweza ikakufanya utoboe. Unaamini kwa sababu ni mvivu na hautaki kukaza na kupambana na maisha. Utakuja kujua ukweli muda umeshapita naa umeshachelewa. Nimeshasema link hapa jinsi ya kuepuka matapeli wa Forex na Sehemu ya ku-report ukitapeliwa.
So trader wote Ina Mana wanafanya kazi katika hizo hedge fund,mutual fund, investment fund. Kuna solo traders wengi tu. Search akina takashi kotegawa mjapani mmoja na Kuna housewife mmoja mjapani aliyetoa akaunti from $13600 to $158m.
No standard or universal if everything but it only exists in your mind.
Sijasema kuwa Kuna trader kuliko hizo funds firms Mana unakuta Ni mitaji ya baadhi ya taasisi na watu binafsi so huwezi shindana na mitaji ya watu wengi mno.

Halafu usiseme forex sema Trading Mana unaposema trading you're just limiting yourself within only one category of Trading financial assets like commodities,bonds,stocks, futures, indexes,forex, options, crypto currencies etc
 
Njia za wenye tamaa wanavyolizwa , wauza vitabu na kozi Ila wao hawafanyi.Trading kuufundisha Ni rahisi mno kuliko kuifanya.
Hata no nonsense mbona walielezea njia wanazotumia hata godfather alisema
 
So trader wote Ina Mana wanafanya kazi katika hizo hedge fund,mutual fund, investment fund. Kuna solo traders wengi tu. Search akina takashi kotegawa mjapani mmoja na Kuna housewife mmoja mjapani aliyetoa akaunti from $13600 to $158m.
No standard or universal if everything but it only exists in your mind.
Sijasema kuwa Kuna trader kuliko hizo funds firms Mana unakuta Ni mitaji ya baadhi ya taasisi na watu binafsi so huwezi shindana na mitaji ya watu wengi mno.

Halafu usiseme forex sema Trading Mana unaposema trading you're just limiting yourself within only one category of Trading financial assets like commodities,bonds,stocks, futures, indexes,forex, options, crypto currencies etc
Unaleta story za alinacha huyo Takashi ashawahi kuhojiwa wapi ? Huyo mama wa Tokyo alihojiwa wapi kama una interview ilete hapa. Mnadanganywa ili hizo trading Platform zipate soko. Hakuna single trader anaeweza kutoboa kushinda Hedge fund. Watu wana mitaji inayohamisha market halafu unadai unaweza kushindana nao. Duniani vijana wanajidanganya kwa sababu wanataka kuamini katika njia rahisi. Forex haiwezi kukupa hela na kukufanya utoboe. Mtaendelea kujidanganya na kuwanufaisha wachache. Mkitaka kupata hela mitandaoni vijana jifunze ni Software development then apply online jobs upige kazi. Mawazo ya kuwekeza Forex ni kupoteza muda. Nimetoa ofa ya trader yeyote ambaye ana 45% positive trades kwenye portfolio yake anicheki apate kazi Fasta Frankfurt umekaa kimya. Namalizia kwa kusema Ego is your true enemy and it will destroy you.
 
USA cfd brokers hawapo na raia huwa hawaruhusiwi ku trade cfd Ila Kuna industry kubwa ya casino like last Vegas.

Pia hii wameikataza Ila raia wake Wana trade real underlying financial assets ambazo unaweka impact kwa uchumi wao like future and stocks.
Na hapo lazima Kuna tax , remember huku we don't own real financial assets but only speculating its price fluctuation.
Sasa ku trade stocks and future or options ambazo brokers wake wanakuwa regulated na mamlaka zao like Chicago board of merchantile exchange.
Pia futures trading wao wanazo apps zao hata investment in stocks Ila zote just apps za wewe mlaji kuweza kucheki information za price fluctuations so haina tofauti kuwa mt4 or tradovate, trade station,bar chart ,ninjatrader, Charles shwab , Ameritrade ,oanda, sofi invest , fidelity, ibkr, Robinhood, etc kuwa labda zina maajabu Ila still unapata price charts ili uweze kufanya decisions based on technical or fundamental analysis.
It's up to you. So sidhani Kama app Ni big ishu mno. Ishu kubwa Ni your brain how to play any games on this planet.
Kuna traders pia waliotoboa from zero kabisa like mark minervin

issue sio app bali kuna RETAIL speculators na traders, as a retail u cant become rich from trading charts same way kwa watu wanaotrade assets zingine daily kama crypto, BUT u can get very rich from owning an asset like stock ama coin za crypto na zmetengeneza matajiri wengi sana hata bongo wao, BUT MT4 FOREX NEVER
 
Unaleta story za aliacha huyo Takashi ashawahi kuhojiwa wapi ? Huyo mama wa Tokyo alihojiwa wapi kama una interview ilete hapa. Mnadanganywa ili hizo trading Platform zipate soko. Hakuna single trader anaeweza kutoboa kushinda Hedge fund. Watu wana mitaji inayohamisha market halafu unadai unaweza kushindana nao. Duniani vijana wanajidanganya kwa sababu wanataka kuamini katika njia rahisi. Forex haiwezi kukupa hela na kukufanya utoboe. Mtaendelea kujidanganya na kuwanufaisha wachache. Mkitaka kupata hela mitandaoni vijana jifunze ni Software development then apply online jobs upige kazi. Mawazo ya kuwekeza Forex ni kupoteza muda. Namalizia kwa kusema Ego is your true enemy and it will destroy you.
NADHAN WAMEKUELEWA
 
sasa wewe unadhan unaijua forex zaidi yangu? ushawahi ata kutengeeza brokage software yoyote? obvious hujawahi so mpaka apo kelele ziishe
Tuliza matako wewe, nasoma kelele zako toka juu na hivyo viscreenshot vyako vya investopedia,inaonekana wazi hujui kitu chochote, zaidi zaidi unaongea kwa hasira tu baada ya kufakamia forex kwa pupa za pesa ya haraka na kuambulia za uso,.....Ni software ipi wewe umetengeneza?...kuna uhusiano gani kati software developer na forex trader?.....kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya tu, naona umegeuka muongeaji mkuu wa huu uzi, ilihari huna unachojua...
 
Kuna manipulation kwenye haka ka fx for Sure. , 97% ku close loss ni changamoto na ukij kufunga umeliwa 87% ya mtaji wako
Why ukiwa katika winning position unatoka haraka baadaye unakuja kujilaumu why umetoka mapema.

Why ukiwa katika losing position hutoki haraka ama ku control your losses unashangaa inakuwa kubwa mpaka inamaliza mtaji wako.

Naomba unijibu hayo majibu hapo juu mtabe Mana mie bado ndio learner
 
na bado ukaacha kufanya ila unajua jinsi ya kufanikiwa
Kila mtu ana story yake kwenye forex. And it doesnt mean kufanya kitu ndio kuishi nacho.
Wewe fahamu nimetrade saana at that extent nikaacha. Tena nafahamu. Sasa nyie kila mtu ana story ya kufa na forex. Jua nimefanya. Na najua vitu kadhaa na nilifanikiwa nayo.
 
So trader wote Ina Mana wanafanya kazi katika hizo hedge fund,mutual fund, investment fund. Kuna solo traders wengi tu. Search akina takashi kotegawa mjapani mmoja na Kuna housewife mmoja mjapani aliyetoa akaunti from $13600 to $158m.
No standard or universal if everything but it only exists in your mind.
Sijasema kuwa Kuna trader kuliko hizo funds firms Mana unakuta Ni mitaji ya baadhi ya taasisi na watu binafsi so huwezi shindana na mitaji ya watu wengi mno.

Halafu usiseme forex sema Trading Mana unaposema trading you're just limiting yourself within only one category of Trading financial assets like commodities,bonds,stocks, futures, indexes,forex, options, crypto currencies etc
it was a made up story, hii story ilianza kipindi kile wafanya kazi wa ndan (housee girl) wengi japana walianza kutrade kwa wingi
 
1) in forex hakunaga manipulation ya big players, manipulation hutokea kwenye assets kama stocks sana sana ama crypto, forex manipulation ni broker tu aamue kukufanyia mbaya ila hakuna anaekumanipulate forex kwa sababu forex market doesnt exist, HAIPO! hakuna kitu kama FOREX MARKET when you bet mnamalizana na broker hakuna sehem oda zako ztaenda zaidi ya kwa broka wako

2) ungekua unaelewa forex inavofanyika usingepoteza mda kuandika ulichoandika
Duh, kwa haya maelezo nna mashaka na lengo lako ktk huu Uzi na sina sababu ya kuendelea kupoteza muda na wewe. Na kwa mnaostrugle na trading make sure ktk usomaji wako wa trading unaiclude kuvielewa hivi vi3 Accumulation, manipulation na Distribution ili unapofungua chart yako ujue upo ktk stage ipi kwa kuanzia higher timeframe hadi lower yako unayoingilia sokoni. Usisahau kujifua na macroeconomics/fundamentals especially monetary policy issues plus best time to be in front of charts.
 
Kila mtu ana story yake kwenye forex. And it doesnt mean kufanya kitu ndio kuishi nacho.
Wewe fahamu nimetrade saana at that extent nikaacha. Tena nafahamu. Sasa nyie kila mtu ana story ya kufa na forex. Jua nimefanya. Na najua vitu kadhaa na nilifanikiwa nayo.

hakuna mtu ashawahi kupata pesa ya maaana forex, au unamaanisha ulipata $100 ndo ukaacha ama ndo mafanikio haya
 
issue sio app bali kuna RETAIL speculators na traders, as a retail u cant become rich from trading charts same way kwa watu wanaotrade assets zingine daily kama crypto, BUT u can get very rich from owning an asset like stock ama coin za crypto na zmetengeneza matajiri wengi sana hata bongo wao, BUT MT4 FOREX NEVER
Mbona unaongea like you know the future. Tell me what about takashi kotegawa, Richard Dennis, Livermore etc.

Yaani unavyoongea like as if you're the creator of that shits.
Ubongo haukubali kushindwa never yaani Kama nimeshindwa kitu nitajaribu kusema kuwa haiwezekani. Brain huwa Ni self serving.
Sio lazima own hizo assets ,unaweza uka trade cfd ama ukafanya real shit through both margin and non margin investment.
Unakumbuka Warren alidisi mno Trading kwa chart alivyoulizwa about Jim Simmons akasema kuwa jamaa Ni genius.
Mana alimeki hela just by charts no need to own the real assets
 
Duh, kwa haya maelezo nna mashaka na lengo lako ktk huu Uzi na sina sababu ya kuendelea kupoteza muda na wewe. Na kwa mnaostrugle na trading make sure ktk usomaji wako wa trading unaiclude kuvielewa hivi vi3 Accumulation, manipulation na Distribution ili unapofungua chart yako ujue upo ktk stage ipi kwa kuanzia higher timeframe hadi lower yako unayoingilia sokoni. Usisahau kujifua na macroeconomics/fundamentals especially monetary policy issues plus best time to be in front of charts.

mtu ambae anaelewa forex market inatrediwa vp hawezi ongea huo upuuzi
- mm natrade kwa broker A nkimanipulate soko broker A ndo atanipa izo hela? ili kuweka manipulate soko unaongea billion znazoenda mpaka 100, sasa hakuna retail broker anayo liquidity ya bil 100 per trade

- manipulation inatokea kwenye asset class ambazo ni legit kama stocks, nikipuliza short ya $100M najua watu watauza assets zao kwa sababu wameweka stoploss ntazichukua izo asset zao walizouza

- forex watachukua nn?
 
Back
Top Bottom