Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Mwaka inawezekena kabisa, au kwa vile ni kubet labda mambo yanaweza kuchange total

Lakini katika hali ya kawaida inawezekana mkuu
win rate ya 45% huezi fikisha kwa mt4 , na sio mt4 tu hata wale traders wakubwa win rate zao kwa mwaka hua zkienda snaa 60% kwa mwaka na huyo ni mtu mmoja
 
Kama traders wakubwa wanaweza fikisha 60% kwa mwaka, mi nashindwaje 45% kwa mwaka?

kwa sababu hauna taarifa sahihi za muhimu wewe unaangalia charts tu ila wale hua wanakwapua taarifa za ndan kabisa hawakai kusoma charts kama nyie, labda anajua kabisa kesho kuna kitu flan kinaenda kutokea kwenye siasa kwahio anakua mbele yako mapema, wengine wako kwenye charts tu
 
Mfano wake si ni kama hiyo screenshot yangu niliyoanza na Usd 4000 mwezi wa nane mwaka jana ila mpaka sasa nilishafikisha 50%.

Au hiyo 45% unamaanishaje labda?
Kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY yaani kila mwezi unatakiwa uwe una skills za kutengeneza mfano 20%
apo wewe bado hujajiwekeza vizuri mda wako unafka soon si bado hata mwaka hauna
 
kwa sababu hauna taarifa sahihi za muhimu wewe unaangalia charts tu ila wale hua wanakwapua taarifa za ndan kabisa hawakai kusoma charts kama nyie, labda anajua kabisa kesho kuna kitu flan kinaenda kutokea kwenye siasa kwahio anakua mbele yako mapema, wengine wako kwenye charts tu
Hata kama taarifa nazipata kwa kuchelewa, kupanda au kushuka kwa currency yoyote hakutatokea kwa siku moja tu
Lazima na mm ntapata taarifa kwa kuchelewa siku moja au masaa kadhaa ukingatia sasahiv ni zama za utandawazi
 
Yeap ipo ivo na ndo maana huwaga na vimaswali unapojisajili ili wajue wanakuweka ktk dealing desk or straight toward processing, na wako na software makini kufilter kulingana na trading

sasa wewe unabishana kitu hukijui
maokoto hio sahau ata upewe miaka, 100 as long hautrade kwa cash maokoto hio sahau
Maneno yako yanawakatisha sana tamaa wenye passion na hii biashara. Trading ni career ngumu sana inayohitaji dedication ya hali ya juu kuimaster skill set. Unaepambana endelea kupambana usiyumbishwe na negativity ya huyu MTU ila ushauri don't expect reward in the near future. Binafsi took 6 years kuipata skill set ya trading and start become consistent and profitable trader. As you keep seeking you will find answers. Mentality wanayoingia nayo vijana ktk hii career ndo inayowaletea shida especially kwa kudanganywa na hao matrader feki wa mitandaoni wanaotegemea fees zao kuishi. Trading is very hard but at the very rewarding. Hizo habari za % ndogo wanaofanikiwa ni kwa career zote ambazo ni rewarding, angalia music, soka, law schools, business etc wanaofika kilele hasa cha mafanikio makubwa ni % ndogo sana majority wapo kusogeza siku tu. In any career self discipline na uvumilivu ni lazima
 
Fx
Fx
Fx
Fx
Fx
Fx
Fx

Kiukwel hata kam kuna watu wanasema fx ni real ina kuna manipulation nying sana (soko linaendeshwa na watu wachache kwa maslai mapana yao haiwezekan mtuu ukomae sokon more tha 3/15 years ujafanikiw alafu wanaofanikiw ni asili ndogo sana)

Hii kazi inabd ufanye kama una beti
 
Maneno yako yanawakatisha sana tamaa wenye passion na hii biashara. Trading ni career ngumu sana inayohitaji dedication ya hali ya juu kuimaster skill set. Unaepambana endelea kupambana usiyumbishwe na negativity ya huyu MTU ila ushauri don't expect reward in the near future. Binafsi took 6 years kuipata skill set ya trading and start become consistent and profitable trader. As you keep seeking you will find answers. Mentality wanayoingia nayo vijana ktk hii career ndo inayowaletea shida especially kwa kudanganywa na hao matrader feki wa mitandaoni wanaotegemea fees zao kuishi. Trading is very hard but at the very rewarding. Hizo habari za % ndogo wanaofanikiwa ni kwa career zote ambazo ni rewarding, angalia music, soka, law schools, business etc wanaofika kilele hasa cha mafanikio makubwa ni % ndogo sana majority wapo kusogeza siku tu. In any career self discipline na uvumilivu ni lazima

akuna mtu anaweza kua tajiri kwa kutrade forex mnaofanya nyie ya mt4 hio haiwezekan, na hata sku ikatokea hata asilimia 5 tu ya traders wa broker wanapata faida basi tayar kwake ni hasara kubwa na inatakiwa afunge biashara sio kwa sababu anatoa ela yeye hapana bali LIQUIDITY itakauka kwa huyo broker, forex mnaofanya nyie sio biashara bali ni kamari forex inafanyika in cash ila nyie mnafanya kitu kinaitwa PERPETUAL CONTRACTS ama kwa kiswahili MKEKA

imezoeleka hata kwenye betting apa na pale watu wanapata ela ila hio inaitwa BAHATI sio skil kusema kwamba baada ya apo ataendelea kushinda tena hapana bahati hairudii mara 2 na ndo kwenye forex pia ilivo, overall ili mabroker waishi inatakiwa 100% ya traders waache pesa kwake,

- kama ulivosema ilikuchukua miaka 6, but kitu ambacho hujui ni ata tukikupa miaka 100 huezi kua tajiri kwa kutumia mt4 simply becausehamuielewi forex kwa uhalisia wake, na jinsi izo number znabadilika, na pia hamjui reasons na nan wako nyuma yake sasa mpaka apa unafanya nn uko?
 
Hata kama taarifa nazipata kwa kuchelewa, kupanda au kushuka kwa currency yoyote hakutatokea kwa siku moja tu
Lazima na mm ntapata taarifa kwa kuchelewa siku moja au masaa kadhaa ukingatia sasahiv ni zama za utandawazi

sio kwa kuchelewa bali TAARIFA SAHIHI, hizo taarifa huezi kuzipata! powel anaweza akasimama pale akasema uchumi unaenda vizuri wewe UKALONG kumbe benki kuu inafanya mwamala wa mabilioni kununua GBP za kufanya biashara, maaaana yake yes kuna postive news but USD imeshuka kwa sababu benki kuu imefanya trade kwa ajili ya manunuzi flan, wewe utakua in loss na yule alieshort atakua in profit kwa sababu haukua na taarifa sahihi
 
hakuna broker anatoa pesa yake ya mfukon yeye atamatch orders zako na mtu ambae anaziuza, the same way ukiziuza yupo anaenunua ndo maisha yanaenda ivo hakunaga ela ya mfukon anatoa broker
Hatushindani, elewa hii biashara the way ilivyo hata mie nikiwa na hela nafungua cfd brokerage company since losing rate Ni kubwa than winning rate.
Huyu Ni sawa na Hawa jamaa wanaochezesha kamari. Unakuta pia anao mtaji wa kuwalipa winners.
Assume wanaopoteza wakapoteza kidogo na Wanao win Waka win nyingi unadhani atafanyeje.
Na yeye unakuta anao mtaji wa kuwalipa.

Hii Ni biashara Kama biashara zingine sema ndio ziko against human nature na ndio Mana watu wanaiita kuwa Ni utapeli.

Asili ya brain ya mwanadamu ikishindwa kitu haikubali ,yaani huwa hatuendi popote huku tunajiandaa kushindwa,hata tuendapo michezoni yaani tunapofanya Jambo lolote ego inatuambia kuwa tutashinda so hata Kama Kuna kushindwa lazima tutafute sababu. Yaani ubongo upo kwa ajili ya kukulinda kwa Hali yoyote Ile iwe jua ama usiku, mvua ama kiangazi.

Mie pia naweza nikawa sipo sahihi.
Ama wewe unaweza ukawa sahihi kuliko mie Ila nimeuliza kuwa wanaopoteza wanakuwa Ni chini ya dola $10k na Wanao win ingawa Ni wachache Wana mitaji ya $1M na winnings zao Ni around $100k plus. Huyu broker atawalipaje?
Assume huyu broker akawa B book na sio A book cfd broker
 
izo zote unazotaja ni vijisababu vya kwann ukifeli unatakiwa utumie hizi sababu, ila unasahau toka mwanzo forex yenyewe ni nn, kiuhalisia kama una ndoto za kutengeneza pesa kwa forex basi we tafuta tu mishe zingine za kufanya mapema hakuna cha risk management wala nn
Why ukiwa katika winning position unatoka haraka baadaye unakuja kujilaumu why umetoka mapema.

Why ukiwa katika losing position hutoki haraka ama ku control your losses unashangaa inakuwa kubwa mpaka inamaliza mtaji wako.

Naomba unijibu hayo majibu hapo juu mtabe Mana mie bado ndio learner
 
Back
Top Bottom