Maneno yako yanawakatisha sana tamaa wenye passion na hii biashara. Trading ni career ngumu sana inayohitaji dedication ya hali ya juu kuimaster skill set. Unaepambana endelea kupambana usiyumbishwe na negativity ya huyu MTU ila ushauri don't expect reward in the near future. Binafsi took 6 years kuipata skill set ya trading and start become consistent and profitable trader. As you keep seeking you will find answers. Mentality wanayoingia nayo vijana ktk hii career ndo inayowaletea shida especially kwa kudanganywa na hao matrader feki wa mitandaoni wanaotegemea fees zao kuishi. Trading is very hard but at the very rewarding. Hizo habari za % ndogo wanaofanikiwa ni kwa career zote ambazo ni rewarding, angalia music, soka, law schools, business etc wanaofika kilele hasa cha mafanikio makubwa ni % ndogo sana majority wapo kusogeza siku tu. In any career self discipline na uvumilivu ni lazima