Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unaongea kitu ambacho kilizushwa dogo alitumia miaka 8 kutoka sjui mtaji wa $18M ilikua ni saga ya kusaidia wale wafanya kazi za ndan waruhusiwe kuendelea kutrade
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unaongea kitu ambacho kilizushwa dogo alitumia miaka 8 kutoka sjui mtaji wa $18M ilikua ni saga ya kusaidia wale wafanya kazi za ndan waruhusiwe kuendelea kutrade
Okay. How about others traders too so ilikuwa no story ili wanawake wafanye kazi watoke ndani pia.
Do you mean that cfd brokerage industry isn't real thing according to your own beliefs, thoughts etc
 

just beba ukwel and move on ukitukana haisaidii chochote, tuseme wewe una akili kushinda google na investopedia umefurahi sasa
 
Kuna watu wameikimbilia na wakaliwa hela wakaja kuitukana kuwa sio real shit. Skills za Trading aren't usual skills ambazo human beings wamezoea kujifunza na ndio Mana wapotezao Ni wengi mno. Yaani hata mie naweza nikaifungua najua in long run nitameki hela Mana naijua saikolojia ya binadamu iko against kabisa na Trading yaani iko against na sio rafiki kwake
 
just beba ukwel and move on ukitukana haisaidii chochote, tuseme wewe una akili kushinda google na investopedia umefurahi sasa
Nani aliyekwambia Google wanatoa majibu ya maswali yako, zaidi ya kuwa search engine tu?....huko investopedia huyo alieandika una uhakika ni trader?...au ni mlevi tu wa ulanzi kama ulivyo wewe.....yani mtu ni software developer na hujui kazi ya GOOGLE,...alafu ndo ukatengeneze brokage software?πŸ€”πŸ€”πŸ˜…πŸ˜….. nyinyi vijana mnaojificha nyuma ya keyboard baada ya kushiba kande kwa shemeji zenu mujitafakari, JF sio TikTok ,huku kuna wenye akili...
 
Haka kajamaa kanajifanya kasoftware developer, kanakuja karirisha ujinga wake hapa baada ya kulizwa.....
 

ndo maaana nkakwambia tufanye wewe ndo unajua kuliko wote umefurahi eeh
 
Msaada kuna tofauti yeyote ya Forex na cryptocurrency hizi sijui Bitcoin, Solana, nk? Naomba majibu tafadhari Kwa wanaofahamu
 
Naijua forex vizuri sana ndo maaaana nkiwaangaliaga nacheka tu alafu naangalia jinsi mnalipana kufundishana upuuzi πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nani analipa kufundishwa?.....mtu hujui hata maana liquidity provider, unakuja kufundisha kuhusu forex.....hujui kazi ya GOOGLE na unajiita software developer......

ok, software developer,unatumia programming language ipi au ni kinyakyusa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…