Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

lengo langu ni kuwaonyesha watu ukwel wa biashara ya forex na sio kukatisha mtu tamaa, katika huo ukweli ni pamoja na kwamba wewe kufanikiwa kwenye forex ni impossible
Paul Tudor Jones2) George Soros 3) William Eckhardt 4) Richard Dennis 5) William J. O'Neil6) Ed Seykota 7) Mark Minervini8) Larry Hite 9) Marty Schwartz10) Nicolas Darvas

Hawa nao vipi wote walikuwa na hedge fund.
 
Elewa kwamba hakunaga kitu kama fx market mlidanganywa, hio ni biashara ya mabroker tu ila amnaga kitu kama fx market for retail, Wanaofanya forex kupata faida ni asilimia ndogo sana ya traders wote, 80% ya forex movements ni kwa ajili ya non profit, forex market ipo kwa ajili ya watu wenye hela kubwa sio na ni cash, mnachokosea nyie ni hamuelewi forex ni nn but mnaelezea kama mnaielewa sana, ukweli ni kwamba forex infanyika na asilimia ndogo sana ya watu duniani, wengine wote mnapoteza mda mtu, you can get lucky ila kupata maisha kwa forex ni asilimia ndogo sana na ata kama hupendi huezi fanya forex miaka zaidi ya 5 mfululizo ipo sku utachoka
Ni kweli...acha wabishane
 
Paul Tudor Jones2) George Soros 3) William Eckhardt 4) Richard Dennis 5) William J. O'Neil6) Ed Seykota 7) Mark Minervini8) Larry Hite 9) Marty Schwartz10) Nicolas Darvas

Hawa nao vipi wote walikuwa na hedge fund.
SIo wote nawajua kwa undan ila soros yes na tudor hao wengina siwajui ila kama walifanikiwa basi ni nje ya MT4
 
Jamaa bana mi ananifurahishaga, broker ni mtu kati tu anachofaidika nacho ni spread, commission, swaps, na wengine wanaenda mbali wa kupitia slippage of price.

Matakro tena khaa! afu lot ya 200 sio ishu ktk unlimited leverage ktk zero spread acc, kwani wapi nimesema ni yangu mbona umekurupuka na hauna umakini, unauhakika upo sawa kisaikolojia
hatukatai forex ina hela lakini ni kamali kama kamali nyingine..tumeshuhudia ma pro wakiliwa pesa mpaka wanakuja kutukopa buku..wewe ulieanza juzi kelele nyingi binafsi nimeijua forex 1998 wewe umeanza kuijua lini?
 
SIo wote nawajua kwa undan ila soros yes na tudor hao wengina siwajui ila kama walifanikiwa basi ni nje ya MT4
Richard Dennis began trading with a humble beginning, borrowing just $2,000 from his relatives to get started. It is likely that at that time, many people would not have expected him to become a millionaire. However, well within 10 years, he did manage to turn this initial investment into $200 million, earning his rightful place among the greatest Forex traders in the world.

According to his trading philosophy, two mandatory things in Forex trading are discipline and consistency.

Inawezakana hizi story Ni za kuvuta ndege wengi tunduni ama unaniambijae mtalaamu wangu level za central bank
 
hatukatai forex ina hela lakini ni kamali kama kamali nyingine..tumeshuhudia ma pro wakiliwa pesa mpaka wanakuja kutukopa buku..wewe ulieanza juzi kelele nyingi binafsi nimeijua forex 1998 wewe umeanza kuijua lini?
Kujua zamani nadhani sio Tija. Unaweza ukamuonyesha mtu kitu baadaye akakijua kuliko wewe ama nakosea.
Wapo waliojua 1980s na wengine waakajua 1990s Ila Hawa wa juzi wakawa wakali kuliko hao wa zamani ama nakosea.
Pia inategemeana na masaa , passion, dedication and commitment uliyoiweka humo katika kujua kitu. Naona zile Tambo za watu kazini kuwa nakuzidi uzoefu.
Pia aminisha Uma kuwa ulianza kujua miaka iyo Mana namie naweza nikasema kuwa Nimeanza ku trade since Livermore era ama nakosea.
 
unaweza deposit mwaka mzima na ukawithdrawal mwezi mmoja, overall lufanikiwa kwenye forex is impossible hakuna alieweza na haiwezi tokea, nkimaanisha forex yenu hii ya mt4
🤣🤣 hii si kweli, si kweli kuna watabe wanakimbiza mbaya mbovu hapa hapa bongo tu, hatukatai kwamba game gumu, ila ukisema hakuna aliyefanikiwa unajidanganya mwenyewe ndugu
 
Richard Dennis began trading with a humble beginning, borrowing just $2,000 from his relatives to get started. It is likely that at that time, many people would not have expected him to become a millionaire. However, well within 10 years, he did manage to turn this initial investment into $200 million, earning his rightful place among the greatest Forex traders in the world.

According to his trading philosophy, two mandatory things in Forex trading are discipline and consistency.

Inawezakana hizi story Ni za kuvuta ndege wengi tunduni ama unaniambijae mtalaamu wangu level za central bank
kiukwel hao wengine siwajui ndo kwanza nawaskia leo, tujikite kwa tunachojua kwa kwel
 
🤣🤣 hii si kweli, si kweli kuna watabe wanakimbiza mbaya mbovu hapa hapa bongo tu, hatukatai kwamba game gumu, ila ukisema hakuna aliyefanikiwa unajidanganya mwenyewe ndugu
- heheheh maisha sio marahisi ivo, ili broker waishi lazima mteja annually apoteze 100% ya mtaji wake, na pia usipotoshwe na online watu wanachopost wengi ni wezi tu, wapo waliokua wana heshima kabisa afrika kama wakina rey wayne, sandile shezi leo hii wako lockup

. yuko jamaa mmoja anaitwa bandile alikua na group la signal alitoa signal ya uongo alafu kwake akaonyesha amepata profit watu wakazuka home kwake usiku huo huo

ptia hii video:
View: https://www.youtube.com/watch?v=5XfFwCTidUE&t=895s&pp=ygUWcmVhbGl0eSBvZiBmb3JleCBndXJ1cw%3D%3D
 
Ndugu mimi sio muumini wa vitu vya mitandaoni sana , naongea kwa experience, narudia tena game kweli ni gumu ila kuna watabe wanachomoka mkuu, wewe kama unabishia hadi hili ni juu yako mkuu,

Mimi siwezi kukushawishi kwa nguvu maana ni business ya pesa na inarisk kubwa nachosema kuna watu mt4/mt5 zimewatoa kimaisha, seek right information
 
wakina nan hao mkuu
 
kwan ulidhan data zenu ni siri? trades zenu zote zko public na tunajua ni asilimia ngap wanaingiza pesa na asilimia ngap wanaruka ruka! kila broker anatakiwa kukupa ID kwenye akaunti yako hio ID ndo inatumika kukutambulisha kwenye soko, so ukiwa na hio ID positions zote ulizofungua na kufunga znapatikana na obvious lazima utakua kwenye loss kwa sababu mpaka unatrade kwa broker maaana yake huielewi forex ni nn
[emoji817]
 
Back
Top Bottom