heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
WapiMbona umesema kuwa Ni vijisababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WapiMbona umesema kuwa Ni vijisababu
Kuijuwa na haijakusaidia kitu u unashangaa losshatukatai forex ina hela lakini ni kamali kama kamali nyingine..tumeshuhudia ma pro wakiliwa pesa mpaka wanakuja kutukopa buku..wewe ulieanza juzi kelele nyingi binafsi nimeijua forex 1998 wewe umeanza kuijua lini?
Imejirizisha nao deposit uzuri copytrading hawawez chukuwa pesa yako zaid labda wakupige lossKesho nadeposit $1000 kwenye copy Trading ya akina Money Hollic
It is TRUE and FACTNa hao ndio wanaochafua industry hawana maarifa ya kutrade wanaishia kulaghai traders lengo kujipatia pesa kwa training. Kwa real trader huwezi ukawa unapoteza muda kushawishi MTU umfundishe. Na ukishakua real trader ni nadra sana kumshawish MTU kuingia ktk trading ni lazima kwanza yeye awe na hiyo passion kwan the journey is real tough. Ukiona MTU anajinasibu anfundisha trading jua anatajipatia kipato kwa training na sio kwa kutrade
amna mzee we unadhan hawa vijana hatuwajui, ngoja nkupe mfanoHutosema nafanya matangazo mkuu?
JOmba watu kama hawa ndo sifayiliagi kabisa, kila la kheriamna mzee we unadhan hawa vijana hatuwajui, ngoja nkupe mfano
View attachment 2951137
View attachment 2951138
ukiziangalia si unaweza sema zmetoboa maisha
Duh, we jamaa unaongea sana na kwa namna unavyojibu hoja ni wazi pasina shaka yoyote na wewe unasimuliwa tu. Kwanza huwez kudeal na fx bila bloker sababu yeye ndio kiunganishi kati ya market ya wewe, kwa hiyo blocker hausiki na faida au hasara unazopata ni kama vile mshahara wa mtumishi unapopitia bank, bank inakuwa ni njia tu ya kupitishia mshahara haihusiki na kupungua au kuongezeka kwa mshahara.unapewa sehem ndogo ya huo mkeka, however chances za wewe kuendeleza ushindi wa mkeka ni mdogo mno so ni kama unawashikia kwa mda
Duh, we jamaa unaongea sana na kwa namna unavyojibu hoja ni wazi pasina shaka yoyote na wewe unasimuliwa tu. Kwanza huwez kudeal na fx bila bloker sababu yeye ndio kiunganishi kati ya market ya wewe, kwa hiyo blocker hausiki na faida au hasara unazopata ni kama vile mshahara wa mtumishi unapopitia bank, bank inakuwa ni njia tu ya kupitishia mshahara haihusiki na kupungua au kuongezeka kwa mshahara.
Hakuna blocker ambaye ukideposit usd labda 100 akakuwekea 10000 au usd 1000 ukawekewa 100000 unawekewa kiwango kilekile ulichodeposit.
Unasema fx ni kubet, basi sawa ni kubet mfano nime buy usdgpy wakati huo kunamwingine kasell pair hiyohiyo kwa lotsize sawa, maanake kuna mtu atagain na mwingine atachezea kichapo kwa maana hiyo blocker hawez kuamua upate au ukose.
Mablocker wako wengi na wote chart zina move sawa kama wao ndo wangekua wanaamua ingebidi kwanza wakubaliane mfano eurousd leo iwe bearish tu siku nzima na wawe na uhakika hakuna aliye sell.
Ni kweli fx inafanyika kwa cash, haimaanishi kwamba hakuna njia nyingine ya kufanyika kwa fx hapo unakuwa unajiwekea wigo we mwenyewe kwenye ufahamu wako. Ile ya cash inafanyika kuwezesha biashara nyingi duniani kufanyika. Huko utakuta usd 1 sawa tsh 2680, hiyo itakaa hivyo kwa muda kidogo kabla haijabadilika inaweza kuwa siku tatu hadi tano ili watu/taasisi/serikali ziweze kufanya biashara.
Lakini huku kwenye digital utakuta saa moja asubuhi usd 1 sawa na 2680 kufika saa nne inawaza kuwa 2711, saa tisa inaweza kuwa 2590 kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo sababu za kisiasa.
Watu wengi wanawaelezea watu sijui fulan kafanyaje, sijui huyu katajirika huyu kafirisika, mimi naongelea upande wangu.
Mwaka 2017 nilianza kutrade fx hasa currency kwa templerfx kiukweli nilikuwa na matumaini makubwa sana na kuona nimewin maisha. Kiukweli mambo hayakua kama nilivyotarajia hadi kufikia mwaka 2019 niliacha kutrade currency zilinishinda zinamambo mengi sana.
Mwaka huo huo nika change blocker nikahamia kwa binary huko nikakuta kuna pair nyingi ambazo kwa templerfx hazipo nikaanza kutrade boom 1000 na 500 na na crash 1000 na 500.
Hizo pair nikazielewa, nikarejesha matumaini tena ya kuwa tajiri, ishu ikawa kucontrol emotion na tamaa huo ndio ukawa mtihani mkubwa sana kwangu.
Market ina move 24hrs lakini huwez kutrade 24hrs na ukawa una make profit kila ukitrade. Mwaka 2022 nikaamua kujiwekea mkakati wangu wa kutrade, nikadeposit usd 1000 natafuta usd 40 tu kwa siku tena kwa lotsize ndogo tu.
Hadi leo nasimamia msimamo huo ninakomake kibongobongo kananitosha nitaongeza malengo nikiongeza capital, lakini kwa sasa naishi humo.
Sijawahi kumshawishi mtu wala sitarajii kufanya hivyo ila akija mtu mwenye idea hizi tunaelekezana. Sasa wewe umekuwa na kelele nyingi hata hujawahi kutrade unasema blocker hawezi kukubali afilisike, kwa mfano umeenda bank na tsh 250,000 unataka kuzibadilisha wakupe usd, bank wakakupa usd 100 kulingana na thamani ya usd kwa wakati huo. Baada ya miezi mitatu ukarudi tena bank na usd 100 ubadilishe wakupe tsh, bank wakakupa tsh 285,000 kulingana na thamani ya usd kwa wakati huo je bank watakua na hasara ya tsh 35,000? Kwanini hawana hasara wakati awali wewe uliwapa tsh 250,000? Basi kama ni hivyo na blocker's hawana hasara.
Punguza ujuaji tafuta taarifa sahihi ondoa negativity uliyojijengea kichwani mwako kuhusu fx.
Ukinipa laki itazaa utapata milioni 3.
Ukileta watu10 utapata milioni10.
Na wao watapata milioni3.
Sasa hapo wewe unakuwa meneja. Kampuni yetu tunaimiliki Manchester city, hivyo nawe unakuwa mmiliki naukuwa mfanya maamuzi ya timu.

Na mtu bado anaamini anaingia kichwa kichwa 😂😂😂Ukinipa laki itazaa utapata milioni 3.
Ukileta watu10 utapata milioni10.
Na wao watapata milioni3.
Sasa hapo wewe unakuwa meneja. Kampuni yetu tunaimiliki Manchester city, hivyo nawe unakuwa mmiliki naukuwa mfanya maamuzi ya timu.
2) nkideposit $100 nkaweka leverage ya 100x maana unaelewa nakua na mtaji kiasi gan? maaana yake sitrade na $100 bali natrade na $10,000, hizi ni pesa bablai na ukipata faida wanakupa ela halali, ila hio pesa uliotumia kwenye leverage ni imaginary in real haipo because pale haununuichochote bali unabetDuh, we jamaa unaongea sana na kwa namna unavyojibu hoja ni wazi pasina shaka yoyote na wewe unasimuliwa tu. Kwanza huwez kudeal na fx bila bloker sababu yeye ndio kiunganishi kati ya market ya wewe, kwa hiyo blocker hausiki na faida au hasara unazopata ni kama vile mshahara wa mtumishi unapopitia bank, bank inakuwa ni njia tu ya kupitishia mshahara haihusiki na kupungua au kuongezeka kwa mshahara.
Hakuna blocker ambaye ukideposit usd labda 100 akakuwekea 10000 au usd 1000 ukawekewa 100000 unawekewa kiwango kilekile ulichodeposit.
Unasema fx ni kubet, basi sawa ni kubet mfano nime buy usdgpy wakati huo kunamwingine kasell pair hiyohiyo kwa lotsize sawa, maanake kuna mtu atagain na mwingine atachezea kichapo kwa maana hiyo blocker hawez kuamua upate au ukose.
Mablocker wako wengi na wote chart zina move sawa kama wao ndo wangekua wanaamua ingebidi kwanza wakubaliane mfano eurousd leo iwe bearish tu siku nzima na wawe na uhakika hakuna aliye sell.
Ni kweli fx inafanyika kwa cash, haimaanishi kwamba hakuna njia nyingine ya kufanyika kwa fx hapo unakuwa unajiwekea wigo we mwenyewe kwenye ufahamu wako. Ile ya cash inafanyika kuwezesha biashara nyingi duniani kufanyika. Huko utakuta usd 1 sawa tsh 2680, hiyo itakaa hivyo kwa muda kidogo kabla haijabadilika inaweza kuwa siku tatu hadi tano ili watu/taasisi/serikali ziweze kufanya biashara.
Lakini huku kwenye digital utakuta saa moja asubuhi usd 1 sawa na 2680 kufika saa nne inawaza kuwa 2711, saa tisa inaweza kuwa 2590 kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo sababu za kisiasa.
Watu wengi wanawaelezea watu sijui fulan kafanyaje, sijui huyu katajirika huyu kafirisika, mimi naongelea upande wangu.
Mwaka 2017 nilianza kutrade fx hasa currency kwa templerfx kiukweli nilikuwa na matumaini makubwa sana na kuona nimewin maisha. Kiukweli mambo hayakua kama nilivyotarajia hadi kufikia mwaka 2019 niliacha kutrade currency zilinishinda zinamambo mengi sana.
Mwaka huo huo nika change blocker nikahamia kwa binary huko nikakuta kuna pair nyingi ambazo kwa templerfx hazipo nikaanza kutrade boom 1000 na 500 na na crash 1000 na 500.
Hizo pair nikazielewa, nikarejesha matumaini tena ya kuwa tajiri, ishu ikawa kucontrol emotion na tamaa huo ndio ukawa mtihani mkubwa sana kwangu.
Market ina move 24hrs lakini huwez kutrade 24hrs na ukawa una make profit kila ukitrade. Mwaka 2022 nikaamua kujiwekea mkakati wangu wa kutrade, nikadeposit usd 1000 natafuta usd 40 tu kwa siku tena kwa lotsize ndogo tu.
Hadi leo nasimamia msimamo huo ninakomake kibongobongo kananitosha nitaongeza malengo nikiongeza capital, lakini kwa sasa naishi humo.
Sijawahi kumshawishi mtu wala sitarajii kufanya hivyo ila akija mtu mwenye idea hizi tunaelekezana. Sasa wewe umekuwa na kelele nyingi hata hujawahi kutrade unasema blocker hawezi kukubali afilisike, kwa mfano umeenda bank na tsh 250,000 unataka kuzibadilisha wakupe usd, bank wakakupa usd 100 kulingana na thamani ya usd kwa wakati huo. Baada ya miezi mitatu ukarudi tena bank na usd 100 ubadilishe wakupe tsh, bank wakakupa tsh 285,000 kulingana na thamani ya usd kwa wakati huo je bank watakua na hasara ya tsh 35,000? Kwanini hawana hasara wakati awali wewe uliwapa tsh 250,000? Basi kama ni hivyo na blocker's hawana hasara.
Punguza ujuaji tafuta taarifa sahihi ondoa negativity uliyojijengea kichwani mwako kuhusu fx.
Duh, we jamaa unaongea sana na kwa namna unavyojibu hoja ni wazi pasina shaka yoyote na wewe unasimuliwa tu. Kwanza huwez kudeal na fx bila bloker sababu yeye ndio kiunganishi kati ya market ya wewe, kwa hiyo blocker hausiki na faida au hasara unazopata ni kama vile mshahara wa mtumishi unapopitia bank, bank inakuwa ni njia tu ya kupitishia mshahara haihusiki na kupungua au kuongezeka kwa mshahara.
Hakuna blocker ambaye ukideposit usd labda 100 akakuwekea 10000 au usd 1000 ukawekewa 100000 unawekewa kiwango kilekile ulichodeposit.
Unasema fx ni kubet, basi sawa ni kubet mfano nime buy usdgpy wakati huo kunamwingine kasell pair hiyohiyo kwa lotsize sawa, maanake kuna mtu atagain na mwingine atachezea kichapo kwa maana hiyo blocker hawez kuamua upate au ukose.
Mablocker wako wengi na wote chart zina move sawa kama wao ndo wangekua wanaamua ingebidi kwanza wakubaliane mfano eurousd leo iwe bearish tu siku nzima na wawe na uhakika hakuna aliye sell.
Ni kweli fx inafanyika kwa cash, haimaanishi kwamba hakuna njia nyingine ya kufanyika kwa fx hapo unakuwa unajiwekea wigo we mwenyewe kwenye ufahamu wako. Ile ya cash inafanyika kuwezesha biashara nyingi duniani kufanyika. Huko utakuta usd 1 sawa tsh 2680, hiyo itakaa hivyo kwa muda kidogo kabla haijabadilika inaweza kuwa siku tatu hadi tano ili watu/taasisi/serikali ziweze kufanya biashara.
Lakini huku kwenye digital utakuta saa moja asubuhi usd 1 sawa na 2680 kufika saa nne inawaza kuwa 2711, saa tisa inaweza kuwa 2590 kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo sababu za kisiasa.
Watu wengi wanawaelezea watu sijui fulan kafanyaje, sijui huyu katajirika huyu kafirisika, mimi naongelea upande wangu.
Mwaka 2017 nilianza kutrade fx hasa currency kwa templerfx kiukweli nilikuwa na matumaini makubwa sana na kuona nimewin maisha. Kiukweli mambo hayakua kama nilivyotarajia hadi kufikia mwaka 2019 niliacha kutrade currency zilinishinda zinamambo mengi sana.
Mwaka huo huo nika change blocker nikahamia kwa binary huko nikakuta kuna pair nyingi ambazo kwa templerfx hazipo nikaanza kutrade boom 1000 na 500 na na crash 1000 na 500.
Hizo pair nikazielewa, nikarejesha matumaini tena ya kuwa tajiri, ishu ikawa kucontrol emotion na tamaa huo ndio ukawa mtihani mkubwa sana kwangu.
Market ina move 24hrs lakini huwez kutrade 24hrs na ukawa una make profit kila ukitrade. Mwaka 2022 nikaamua kujiwekea mkakati wangu wa kutrade, nikadeposit usd 1000 natafuta usd 40 tu kwa siku tena kwa lotsize ndogo tu.
Hadi leo nasimamia msimamo huo ninakomake kibongobongo kananitosha nitaongeza malengo nikiongeza capital, lakini kwa sasa naishi humo.
Sijawahi kumshawishi mtu wala sitarajii kufanya hivyo ila akija mtu mwenye idea hizi tunaelekezana. Sasa wewe umekuwa na kelele nyingi hata hujawahi kutrade unasema blocker hawezi kukubali afilisike, kwa mfano umeenda bank na tsh 250,000 unataka kuzibadilisha wakupe usd, bank wakakupa usd 100 kulingana na thamani ya usd kwa wakati huo. Baada ya miezi mitatu ukarudi tena bank na usd 100 ubadilishe wakupe tsh, bank wakakupa tsh 285,000 kulingana na thamani ya usd kwa wakati huo je bank watakua na hasara ya tsh 35,000? Kwanini hawana hasara wakati awali wewe uliwapa tsh 250,000? Basi kama ni hivyo na blocker's hawana hasara.
Punguza ujuaji tafuta taarifa sahihi ondoa negativity uliyojijengea kichwani mwako kuhusu fx.
Pairs hazitrade sawa ila kunakua na middle men, mfano dola bongo inauzwa 2800, kenya inauzwa labda ukiconvert ela ya tsh ni kama 2700, kwa kua ni electroniically watu watachukua dola kenya na kwenda kuuza bongo, economically inaitwa ABITRAGE, pia $1 BOT sio sana na $1 bureau de change ama benki rates ni tafaut ila znakua kwa kiasi kidogo ni kwa sababu hakuna kitu kinaitwa FX market FOREX ni kitendo cha kubadilishana sio soko
2) nkideposit $100 nkaweka leverage ya 100x maana unaelewa nakua na mtaji kiasi gan? maaana yake sitrade na $100 bali natrade na $10,000, hizi ni pesa bablai na ukipata faida wanakupa ela halali, ila hio pesa uliotumia kwenye leverage ni imaginary in real haipo because pale haununuichochote bali unabet
Umeishiwa hoja umebaki kutukana tu basi sawa. Unasema sio soko ni kitendo, hata kuuza viazi mviringo ni tendo.whether utumie lot size ndogo ama kubwa unapoteza mda kwenye kubet na mt4 because huna elimu halisi ya forex,
elimu uliopata ni ile ya mtaani ambayo ulifundishwa na jamaa aliepauka ambaye na yeye alifundishwa na jamaa mwingine aliepauka, na kwakua na wewe mepauka mda huu utamfundisha mwingine pia aje kupauka
FOR - FOREIGN EX - EXCHANGE (FOREX) ni kitendo sio soko, bila shaka ushaskia kitu kinaitwa FOREIGN RESERVE, anyway kwaku elimu yako ndo ile ya kupeana mtaani jiandae kua mwalimu mpaka pale utakapojifunza kua serious na kuacha kuongea UJINGA