Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Unachokieleza hapa nakufahamu nadhani. Mana central banks zote dunia nzima huwa Zina intervene exchange rate ya currency yao for various reasons. Mfano smt to lower rate to export more like Japan vs Kenya hela ya Japan ipo chini kulinganishana na shilingi ya Kenya.
they have control over everything kinachofanyika na pesa hio sio tatizo kunakuaga na slight different apa na pale mfano rate ya dola voda ni tafauti na airtel ni trading kawaida, but overall kila mtu anatengeneza soko lake
 
So
mm skatishi tamaa mtu kujaribu but kuna vitu kiukwel inabidi visemwe mapema sku izi watu wananunua mpaka ndinga ili kuvuta wananfunzi
ina Mana nikiweka hela zangu kwa Tesla baadaye Tesla ikafilisika inakuwaje hapo.

Mie sijakataa walimu Ni wengi mno kila mahala wapo.
Ila nimekuuliza Hawa brokers vipi sio halisi..
Na je spread betting unaichukuliaje.
Kule Las Vegas casino USA unasemaje nako pia.
So Trading sio uhalisia kabisa Ina Mana Ni dhahania kabisa.
So hizi story za kina Livermore,Soros, Tudor jones etc huwa zinatengenezwa kuwaliza watu pia
 
Yani mtu anashangaa kusikia kwamba 95% traders wana lose na 5% ndio wana win?

Nitajie kazi gani au biashara gani ambayo losers ni wachache kuliko winners?

Ukishaona biashara yeyote winners ni wengi kuliko losers hiyo ni biashara kichaa haina faida yeyote kimbia ufe!

Siku zote kazi/biashara zenye risk kubwa ndio zenye faida.

Wabongo wengi hawatakagi mambo magumu magumu, wao wambie njoo hapa weka hivi utapata hela, hapo utawapata wengi. Kazi yeyote yenye risk kubwa na kutumia akili huwapati.

Kwa hiyo wanaosema forex haiwezi kukupa hela wako sahihi kwa nature ya akili za wabongo.
 
Naomba upumzike tafadhali usikarike tuna mtu wa bot hapa anatupa elimu kuwa Trading isn't real is kind of scamming game or betting
 
mm skatishi tamaa mtu kujaribu but kuna vitu kiukwel inabidi visemwe mapema sku izi watu wananunua mpaka ndinga ili kuvuta wananfunzi
Hivi vya matrainer ndio vitu vinavyotakiwa kukemewa lakini sio kuwavunja moyo wenye true passion ya kujifunza trading kwa kuwaambia as a retailer you can't make money consistently. Najaribu kuassume maneno yako ningekutana nayo wakati nikiwa ktk heavy situation ya kujifunza trading ningegive up maana kuna time njian MTU unahisi this shit don't work lakini kwa sababu ni kitu ambacho chuoni nilikua nimekutana nacho ingawa kwa juu juu nikaendelea kupambana nakuamini the problem was me so nikazidi kupambana though kwa maumivu makali.
 
Hivi vya matrainer ndio vitu vinavyotakiwa kukemewa lakini sio kuwavunja moyo wenye true passion ya kujifunza trading kwa kuwaambia as a retailer you can't make money consistently
Ile link aliyotoa kuwa retailer traders hawawezi make hela ,jamaa hajasema kuwa Ni impossible Bali Ni kuwa Ni ngumu ana akaweka vikwazo vinavyomkabili retail traders aka day traders.
Ila still Kuna watu wanavishinda hivyo vikwazo wachache mno Ila wengi wanaishia kufundisha na kuandika vitabu na kufundisha
 
Na humo kwenye day trading ndo wengi wanakua trapped.
 
Hivi vya matrainer ndio vitu vinavyotakiwa kukemewa lakini sio kuwavunja moyo wenye true passion ya kujifunza trading kwa kuwaambia as a retailer you can't make money consistently. Najaribu kuassume maneno yako ningekutana nayo wakati nikiwa ktk heavy situation ya kujifunza trading ningegive up maana kuna time njian MTU unahisi this shit don't work lakini kwa sababu ni kitu ambacho chuoni nilikua nimekutana nacho ingawa kwa juu juu nikaendelea kupambana nakuamini the problem was me so nikazidi kupambana though kwa maumivu makali.
but pia tunasema ukwel, kutrade retail uongo
 
So

ina Mana nikiweka hela zangu kwa Tesla baadaye Tesla ikafilisika inakuwaje hapo.

Mie sijakataa walimu Ni wengi mno kila mahala wapo.
Ila nimekuuliza Hawa brokers vipi sio halisi..
Na je spread betting unaichukuliaje.
Kule Las Vegas casino USA unasemaje nako pia.
So Trading sio uhalisia kabisa Ina Mana Ni dhahania kabisa.
So hizi story za kina Livermore,Soros, Tudor jones etc huwa zinatengenezwa kuwaliza watu pia
hapana wakina george soros ni traders kabisa ila ni watu wa hedge fund(INSTITUTIONAL)
 
Ukiita forex ipo ndani ya dhana finyu Ila in general Ni Trading ndani ya Trading ndio Kuna forex. Sema watu wanabeba beba tu juu juu kuwa forex hata nikiwa na trade bonds ama commodities wao wanajua kuwa Ni forex pia.

zile ni mkeka sio real asset, hata ukitrade stocks haimaniishi hio stock unayo kwel apana ni betting tu mkeka wako ukitick unapewa ela
 
Back
Top Bottom