stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
hamnaga cha type A wala Z wala CFDSo cfd brokers hawapo Ni nadharia tu professor.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamnaga cha type A wala Z wala CFDSo cfd brokers hawapo Ni nadharia tu professor.
they have control over everything kinachofanyika na pesa hio sio tatizo kunakuaga na slight different apa na pale mfano rate ya dola voda ni tafauti na airtel ni trading kawaida, but overall kila mtu anatengeneza soko lakeUnachokieleza hapa nakufahamu nadhani. Mana central banks zote dunia nzima huwa Zina intervene exchange rate ya currency yao for various reasons. Mfano smt to lower rate to export more like Japan vs Kenya hela ya Japan ipo chini kulinganishana na shilingi ya Kenya.
kwa ajili ya pesa huezi trade bitcoin alafu ukaiitwa forexHii Ni kwa ajili ya currencies tu Ila in general Ni trading ambayo inajumuisha various financial assets like stocks,bonds, indexes,futures, options, commodities etc
Hii Ni kwa ajili ya currencies tu Ila in general Ni trading ambayo inajumuisha various financial assets like stocks,bonds, indexes,futures, options, commodities etc
Ukiita forex ipo ndani ya dhana finyu Ila in general Ni Trading ndani ya Trading ndio Kuna forex. Sema watu wanabeba beba tu juu juu kuwa forex hata nikiwa na trade bonds ama commodities wao wanajua kuwa Ni forex pia.kwa ajili ya pesa huezi trade bitcoin alafu ukaiitwa forex
ina Mana nikiweka hela zangu kwa Tesla baadaye Tesla ikafilisika inakuwaje hapo.mm skatishi tamaa mtu kujaribu but kuna vitu kiukwel inabidi visemwe mapema sku izi watu wananunua mpaka ndinga ili kuvuta wananfunzi
Naomba upumzike tafadhali usikarike tuna mtu wa bot hapa anatupa elimu kuwa Trading isn't real is kind of scamming game or bettingYani mtu anashangaa kusikia kwamba 95% traders wana lose na 5% ndio wana win?
Nitajie kazi gani au biashara gani ambayo losers ni wachache kuliko winners?
Ukishaona biashara yeyote winners ni wengi kuliko losers hiyo ni biashara kichaa haina faida yeyote kimbia ufe!
Siku zote kazi/biashara zenye risk kubwa ndio zenye faida.
Wabongo wengi hawatakagi mambo magumu magumu, wao wambie njoo hapa weka hivi utapata hela, hapo utawapata wengi. Kazi yeyote yenye risk kubwa na kutumia akili huwapati.
Kwa hiyo wanaosema forex haiwezi kukupa hela wako sahihi kwa nature ya akili za wabongo.
Marekani ndio yenye traders wengi zaidi wa forex.infact nchi nyingi zinazojielewa zmepiga marufuku forex ni africa ndo UJINGA hujaisha,
Hivi vya matrainer ndio vitu vinavyotakiwa kukemewa lakini sio kuwavunja moyo wenye true passion ya kujifunza trading kwa kuwaambia as a retailer you can't make money consistently. Najaribu kuassume maneno yako ningekutana nayo wakati nikiwa ktk heavy situation ya kujifunza trading ningegive up maana kuna time njian MTU unahisi this shit don't work lakini kwa sababu ni kitu ambacho chuoni nilikua nimekutana nacho ingawa kwa juu juu nikaendelea kupambana nakuamini the problem was me so nikazidi kupambana though kwa maumivu makali.mm skatishi tamaa mtu kujaribu but kuna vitu kiukwel inabidi visemwe mapema sku izi watu wananunua mpaka ndinga ili kuvuta wananfunzi
Ile link aliyotoa kuwa retailer traders hawawezi make hela ,jamaa hajasema kuwa Ni impossible Bali Ni kuwa Ni ngumu ana akaweka vikwazo vinavyomkabili retail traders aka day traders.Hivi vya matrainer ndio vitu vinavyotakiwa kukemewa lakini sio kuwavunja moyo wenye true passion ya kujifunza trading kwa kuwaambia as a retailer you can't make money consistently
Na humo kwenye day trading ndo wengi wanakua trapped.Ile link aliyotoa kuwa retailer traders hawawezi make hela ,jamaa hajasema kuwa Ni impossible Bali Ni kuwa Ni ngumu ana akaweka vikwazo vinavyomkabili retail traders aka day traders.
Ila still Kuna watu wanavishinda hivyo vikwazo wachache mno Ila wengi wanaishia kufundisha na kuandika vitabu na kufundisha
but pia tunasema ukwel, kutrade retail uongoHivi vya matrainer ndio vitu vinavyotakiwa kukemewa lakini sio kuwavunja moyo wenye true passion ya kujifunza trading kwa kuwaambia as a retailer you can't make money consistently. Najaribu kuassume maneno yako ningekutana nayo wakati nikiwa ktk heavy situation ya kujifunza trading ningegive up maana kuna time njian MTU unahisi this shit don't work lakini kwa sababu ni kitu ambacho chuoni nilikua nimekutana nacho ingawa kwa juu juu nikaendelea kupambana nakuamini the problem was me so nikazidi kupambana though kwa maumivu makali.
- hahahaha eti znaitwajeMarekani ndio yenye traders wengi zaidi wa forex.
Nchi zilizopiga marufuku forex ni zile shithole kama iran na nyingine zinazotawaliwa kidikteta bila uhuru na umasikini wa kutupwa
Huelewekibut pia tunasema ukwel, kutrade retail uongo
hapana wakina george soros ni traders kabisa ila ni watu wa hedge fund(INSTITUTIONAL)So
ina Mana nikiweka hela zangu kwa Tesla baadaye Tesla ikafilisika inakuwaje hapo.
Mie sijakataa walimu Ni wengi mno kila mahala wapo.
Ila nimekuuliza Hawa brokers vipi sio halisi..
Na je spread betting unaichukuliaje.
Kule Las Vegas casino USA unasemaje nako pia.
So Trading sio uhalisia kabisa Ina Mana Ni dhahania kabisa.
So hizi story za kina Livermore,Soros, Tudor jones etc huwa zinatengenezwa kuwaliza watu pia
lengo langu ni kuwaonyesha watu ukwel wa biashara ya forex na sio kukatisha mtu tamaa, katika huo ukweli ni pamoja na kwamba wewe kufanikiwa kwenye forex ni impossibleHueleweki
Ukiita forex ipo ndani ya dhana finyu Ila in general Ni Trading ndani ya Trading ndio Kuna forex. Sema watu wanabeba beba tu juu juu kuwa forex hata nikiwa na trade bonds ama commodities wao wanajua kuwa Ni forex pia.