stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
🤣🤣 hili ni swali gumu sana kwa trader
amna tumpe mda kijana maaana wanaingiza mamilioni kila dakika 10 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 hili ni swali gumu sana kwa trader
Hawezi akarudi trading history ni kitu cha kuclick button tu,amna tumpe mda kijana maaana wanaingiza mamilioni kila dakika 10 😂
Hawezi akarudi trading history ni kitu cha kuclick button tu,
Mimi hua nasema hivi fx hela kweli ipo ila sio kizembe maana wanaokula loss ni wengi zaidi, na mpaka uanze kula profit nzuri ni umeweka jitihada kisawasawa
Mjomba we unatakaga tu trading history ya miezi 3 hahaa duuh aya bana kwanini usiombe investor password, au verified myfxbookunaweza kuweka trading history yako apa ya miezi 3
mm sifanyi forex ila nshawahi kutengeneza mifumo flan ya mabroker so najua kabisa kuna trading history na data zenu hua zpo public especially zile closing order
Kama history haijatoka , ndo itatoka investor pass?, pesa ipo tuendelee kupambana kwa tahadhari na nidhamuMjomba we unatakaga tu trading history ya miezi 3 hahaa duuh aya bana kwanini usiombe investor password, au verified myfxbook
unaweza kua engineer wa ndege na haujui kuendesha ndege?Sasa we ulishasema hufanyi forex mbona unabishan na waliokuwa ktk game, trading wapo wanaoloose na wanaogain kulingana na maarifa na management sokoni
Nimeipata mahala point ni kwamba pesa zipo ukijizatiti
View attachment 2948991
Mjomba we unatakaga tu trading history ya miezi 3 hahaa duuh aya bana kwanini usiombe investor password, au verified myfxbook
Yesuuu!Ukinipa laki itazaa utapata milioni 3.
Ukileta watu10 utapata milioni10.
Na wao watapata milioni3.
Sasa hapo wewe unakuwa meneja. Kampuni yetu tunaimiliki Manchester city, hivyo nawe unakuwa mmiliki naukuwa mfanya maamuzi ya timu.
kwan ulidhan data zenu ni siri? trades zenu zote zko public na tunajua ni asilimia ngap wanaingiza pesa na asilimia ngap wanaruka ruka! kila broker anatakiwa kukupa ID kwenye akaunti yako hio ID ndo inatumika kukutambulisha kwenye soko, so ukiwa na hio ID positions zote ulizofungua na kufunga znapatikana na obvious lazima utakua kwenye loss kwa sababu mpaka unatrade kwa broker maaana yake huielewi forex ni nn
mpaka unatrade kwa broker maaana yake huielewi forex ni nn
hii statement unamaanisha nini mkuu
ukitrade kwa broker hautrade forex bali unabet kwenye forex kwa sababu forex market inafanyika kwa SPOT(CASH) an wanaotrade forex kwa ukubwa lengo lao sio kupata faida bali wana agenda tafauti kidogo
Hivi crypto King yupo kweli
Ova
So sehemu ya kutumia spot(cash) ni wapi?ukitrade kwa broker hautrade forex bali unabet kwenye forex kwa sababu forex market inafanyika kwa SPOT(CASH) an wanaotrade forex kwa ukubwa lengo lao sio kupata faida bali wana agenda tafauti kidogo
So sehemu ya kutumia spot(cash) ni wapi?