Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Sawa ndugu
Jamaa bana mi ananifurahishaga, broker ni mtu kati tu anachofaidika nacho ni spread, commission, swaps, na wengine wanaenda mbali wa kupitia slippage of price.
We matako kweli una hela ya kuweka lot size ya 200 wewe acha kutuwekea demo weka real acc
Matakro tena khaa! afu lot ya 200 sio ishu ktk unlimited leverage ktk zero spread acc, kwani wapi nimesema ni yangu mbona umekurupuka na hauna umakini, unauhakika upo sawa kisaikolojia
 
Mwanangu we komaa na mt4 tu huku kwingine amna unachoelewa, hakunaga kitu kama forex market for retail hio haipo na haiwezi kuwepo, forex inafanyika kwa cash, labda nkusaidie kidogo
Sasa usichoelewa ni nini apo ndio sisi retailers hatuna acces ya moja kwa moja sokoni lazima tumtumie broker, ni sawa na eti mwanachi awe na acces ya moja kwa moja kwa rais lazim apitie wamwenyekiti au mkuu wa wilaya au waziri etc ye ndo atakuconnect.

Na ndo maana kuna maduka ya jumla na reja reja uwezi enda nunua unga nusu kiwandani kwanza watakucheka na ndo ivo, so soko linahitaji bulk liquidity na ndo zinazopatikan tokea kwa institutional or banks, na brokers(kwa kukusanya oda ndogo ndogo) ila kinachotradiwa ni kile kile its just to trade like institutional does.
 
Yeap ipo ivo na ndo maana huwaga na vimaswali unapojisajili ili wajue wanakuweka ktk dealing desk or straight toward processing, na wako na software makini kufilter kulingana na trading yako,
sio kila brocker anapeleka order zako kwenye soko anabaki nazo labda ukianza kuwa unamla sana ndio anaweza kukupeleka direct sokoni.
kuna brocker ambao hata deposite yao ni kubwa na direct sokoni
 
ni huelewi ama unakaza fuvu? hakunaga fx market kwa ajili ya retail hio haipo na haiwezi tokea hakunaga kitu kama broker amekupeka sokoni kwasababu hilo soko halipo, yeye broker anatengeneza soko lake na anachukua ela kutoka loosers na kuwapa winners inaitwa LIQUIDITY kwa lugha nyepesi unachofanya wewe ni kubet leo EURO atampiga GBP ama vice versa BUT sio sokon ni kwa broker apo apo, wewe huezi access fx market kwa sababu halipo kwa ajili yenu na hauwezi tokea
 
sio kila brocker anapeleka order zako kwenye soko anabaki nazo labda ukianza kuwa unamla sana ndio anaweza kukupeleka direct sokoni.
kuna brocker ambao hata deposite yao ni kubwa na direct sokoni
kama.kuelewa ni ngumu basi soma apa
 
Attachments

  • 20240331_072553.jpg
    20240331_072553.jpg
    460.6 KB · Views: 25
Yeap ipo ivo na ndo maana huwaga na vimaswali unapojisajili ili wajue wanakuweka ktk dealing desk or straight toward processing, na wako na software makini kufilter kulingana na trading yako,
unavoelezea mtu aweza dhan unaelezea kitu unachokielewa, 🤣 we jamaa bana, sjui ni huelewi ama unakaza fuvu, all in all hakunaga kitu kama kwenda sokon mlidanganywa pale ni mnabet tu broker anachukua pesa uku anahamisha kwenda uku mchezo umeisha, mambo ya soko lina wenyewe tayar na hata hawataki kupata faida ni nyie tu ndo mnaforce mambo
 
forex haiwezi fanyika digital, forex ni cash kwa cash mfano ukienda pale BOT utakuta kuna EX CHECKERS za dola, IOU za dola alafu utakuta tsh, ikitokea benki za biashara ama wafanya biashara wakubwa wanataka kufanya manunuzi nje basi BOT hana budi zaidi ya kuuza Tsh kwa central bank ingine apewe dola, anaweza kuingia kenya akawapa tsh wakampa dola na ndo rate ya $1 ~ 2800TZS inapotokea, sometimes tsh inaweza kuitajika zaidi ya dola the process goes around, ndo forex inavofanyika, anaything apart from apa unless unamiliki hedge fund basi ni utapeli na huwezi kufanikiwa kwa sababu unatapeliwa, kumbuka BOT alifanya trade bila kutegemea faida ila kiuhalisia tsh lazima iporomoke, kwa kua mmedandia forex basi endeleeni kubet vizuri ila huu mda tumia kufanya shuhuli zingine ambazo kwa miaka ya mbelen utakua umesogea kimaisha
Nijibu. Kwanini gavana wa bank ya england akisema interest rate imeongezwa au imepunguzwa sarafu hapo hapo inashuka au kupanda? Na mt4 ni ivo ivo
Kwanini kukiwa na mgogoro nchi fulani sarafu hushuka sokoni ni buy and sell.
Utapata loss utakapokuwa uelekeo tofauti na soko,
 
Asielewa ni mimi au wewe, sikatai watu hawaloose looser wapo wengii je nawe ukatai watu hawaprofit?
unavoelezea mtu aweza dhan unaelezea kitu unachokielewa, 🤣 we jamaa bana, sjui ni huelewi ama unakaza fuvu, all in all hakunaga kitu kama kwenda sokon mlidanganywa pale ni mnabet tu broker anachukua pesa uku anahamisha kwenda uku mchezo umeisha, mambo ya soko lina wenyewe tayar na hata hawataki kupata faida ni nyie tu ndo mnaforce mambo
 
Nijibu. Kwanini gavana wa bank ya england akisema interest rate imeongezwa au imepunguzwa sarafu hapo hapo inashuka au kupanda? Na mt4 ni ivo ivo
Kwanini kukiwa na mgogoro nchi fulani sarafu hushuka sokoni ni buy and sell.
Utapata loss utakapokuwa uelekeo tofauti na soko,
Bro huelewi maana ya kubet? chelsea akishinda si sport pesa wanakupa ela?
 
Nijibu. Kwanini gavana wa bank ya england akisema interest rate imeongezwa au imepunguzwa sarafu hapo hapo inashuka au kupanda? Na mt4 ni ivo ivo
Kwanini kukiwa na mgogoro nchi fulani sarafu hushuka sokoni ni buy and sell.
Utapata loss utakapokuwa uelekeo tofauti na soko,
Naomba uniletee trading history yako kama umepata faida asilimia 45 ya trades zako nikupatia kazi Frankfurt
Kuna watu wanatafutwa huku wawe wana good trades at keast 45 percent kwenye portfolio zao.
 
ni huelewi ama unakaza fuvu? hakunaga fx market kwa ajili ya retail hio haipo na haiwezi tokea hakunaga kitu kama broker amekupeka sokoni kwasababu hilo soko halipo, yeye broker anatengeneza soko lake na anachukua ela kutoka loosers na kuwapa winners inaitwa LIQUIDITY kwa lugha nyepesi unachofanya wewe ni kubet leo EURO atampiga GBP ama vice versa BUT sio sokon ni kwa broker apo apo, wewe huezi access fx market kwa sababu halipo kwa ajili yenu na hauwezi tokea
wewe ni kilaza kweli price inayosomeka apo bank kuu ndo inayosomeka mt4 , sisi retailer tunasapotiwa na leverage ni kwamba tubapewa leverage or booster
 
Asielewa ni mimi au wewe, sikatai watu hawaloose looser wapo wengii je nawe ukatai watu hawaprofit?
Motives za soko ni tafauti, wanaofanya soko lisogee hawatrade kupata faida na wamaotrade kupata faida wanatrade electronically nkimaanisha ni computer znatrade sio mtu anasoma charts kama mnavofanya, ila nyie mnataka kuprofit kwenye soko ambalo mkubwa wako hana interest ya kupata faida, huoni ama ni uchizi huo?

angalia, mm nmetuma ela kenya kwa ajili ya matibabu labda ya mgonjwa kwa kua nmefanya transaction nmeuza tsh yule wa kenya kapewa ksh, wewe unataka kusoma charts kupredict watu wote wanaotaka kutuma ela za matibabu kenya kama sio uchizi ni nn huu sasa? ama mm nataka kununua gari nje nmeweka tsh benki kule wamepokea dola wewe unataka kusoma charts kujua kwamba leo kuna mtu anafanya mwamala wa tsh kununua gari, kwa lugha nyepesi hua kuna mda mnakuaga kama comedy
 
Sasa we utajuwaje kama chelsea atawini ndo mpaka upewe izo ela?
huezi jua kama chelsea atawin kwa sababu hauna taarifa za ndan ya chelsea hujui wameamka vp leo ama wamekuaje kwenye mazoezi ila kwa mazoea kwamba kila akikutana na manu lazima ashinde basi unampa chelsea, the same same way unavofanya kila price ikifika level imejirudia mnaita support na resistance, mkitegemea same results,

wewe ela yako umeweka sport pesa lakini utalipwa kutokana na mechi ya chelsea itakavoisha ulaya so hauwezi sema umewekeza ulaya bali unabet matokeo ya ulaya kwa kupitia sport pesa na kama kawaida sport pesa yeye anachukua ela ukiloose anampa alieshinda hamna pesa ya mfukon pale, sasa ndo mnachofanya watu wa mt4,
 
Back
Top Bottom