forex haiwezi fanyika digital, forex ni cash kwa cash mfano ukienda pale BOT utakuta kuna EX CHECKERS za dola, IOU za dola alafu utakuta tsh, ikitokea benki za biashara ama wafanya biashara wakubwa wanataka kufanya manunuzi nje basi BOT hana budi zaidi ya kuuza Tsh kwa central bank ingine apewe dola, anaweza kuingia kenya akawapa tsh wakampa dola na ndo rate ya $1 ~ 2800TZS inapotokea, sometimes tsh inaweza kuitajika zaidi ya dola the process goes around, ndo forex inavofanyika, anaything apart from apa unless unamiliki hedge fund basi ni utapeli na huwezi kufanikiwa kwa sababu unatapeliwa, kumbuka BOT alifanya trade bila kutegemea faida ila kiuhalisia tsh lazima iporomoke, kwa kua mmedandia forex basi endeleeni kubet vizuri ila huu mda tumia kufanya shuhuli zingine ambazo kwa miaka ya mbelen utakua umesogea kimaisha