Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Nimeipata mahala point ni kwamba pesa zipo ukijizatiti
Screenshot_20240325-162403_Instagram.jpg
 
Mjomba we unatakaga tu trading history ya miezi 3 hahaa duuh aya bana kwanini usiombe investor password, au verified myfxbook

kwan ulidhan data zenu ni siri? trades zenu zote zko public na tunajua ni asilimia ngap wanaingiza pesa na asilimia ngap wanaruka ruka! kila broker anatakiwa kukupa ID kwenye akaunti yako hio ID ndo inatumika kukutambulisha kwenye soko, so ukiwa na hio ID positions zote ulizofungua na kufunga znapatikana na obvious lazima utakua kwenye loss kwa sababu mpaka unatrade kwa broker maaana yake huielewi forex ni nn
 
hii statement unamaanisha nini mkuu
mpaka unatrade kwa broker maaana yake huielewi forex ni nn
 
ukitrade kwa broker hautrade forex bali unabet kwenye forex kwa sababu forex market inafanyika kwa SPOT(CASH) an wanaotrade forex kwa ukubwa lengo lao sio kupata faida bali wana agenda tafauti kidogo

so mpaka umeenda kwa broker maaana yake huna uelewa wa forex ni nn bali ulidumbukia tu uko kwa sababu broker aliwaaminisha ivo, when you trade kwa broker hautumii cash unatrade kitu kinaitwa (PERPETUAL CONTRACTS) kwa lugha nyepesi ni broker anakwambia tufanye kama unamiliki izi pesa japo hauna izo pesa alafu ikitokea mtu katrade tafauti tutachukua ela zake tutakupa wewe:

same way na wewe ukienda tafauti pesa zako tutampa mtu mwingine
 
Back
Top Bottom