Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

izo zote unazotaja ni vijisababu vya kwann ukifeli unatakiwa utumie hizi sababu, ila unasahau toka mwanzo forex yenyewe ni nn, kiuhalisia kama una ndoto za kutengeneza pesa kwa forex basi we tafuta tu mishe zingine za kufanya mapema hakuna cha risk management wala nn
 
the thing apa ni waelewe hawafanyi trading bali wana bet kwa broker, hizi mitikasi ya kusema sjui forex trading ama soko la forex ni nadharia ambayo haipo ambayo sasa hupelkea wengine ambao hawajui forex wakazamishwa uku wakidhan ni kazi ya maaana kumbe ni betting
 
broker hatoi ela yake mfukon
 
hakuna broker anatoa pesa yake ya mfukon yeye atamatch orders zako na mtu ambae anaziuza, the same way ukiziuza yupo anaenunua ndo maisha yanaenda ivo hakunaga ela ya mfukon anatoa broker
 
Haya sawa hakuna kitu kinaitwa soko la forex! Sasa mbona ukienda bank kwenye tv zao utaona nunua usd labda kwa tsh 2678 uza kwa tsh 2685 kwa nini wanatumia maneno "nunua na uza"?
 
Haya sawa hakuna kitu kinaitwa soko la forex! Sasa mbona ukienda bank kwenye tv zao utaona nunua usd labda kwa tsh 2678 uza kwa tsh 2685 kwa nini wanatumia maneno "nunua na uza"?

icho kitendo ndo kinaitwa FOREX sio soko but kitendo cha kuuza na kununua ndo kinaitwa ivo, FO - FOREIGN EX- EXCHANGE , pia kuna terms zingine kama FOREIGN RESERVE but sio FOREX MARKET hio haipo
 
Broker atatoaje hela mfukoni ilhali 99% percent ya traders ni loser

actually ata issue sio hio, brokers mifumo yao inafanya kazi kwa muundo wa match making kuna orders kama LIMIT ORDER, MARKET ORDER, STOP LIMIT ORDER, TRAILING STOP na mengine mengi some advanced might have ICE BERG ORDERS lengo la hizi order zote ni kuchukua ela upande mmoja na kuhamisha upande mwingine
 
Sasa mkuu kama retail trader alitakiwa atrade wapi tofauti na kwa broker? Umenipa mashaka na uelewa wako katika tasnia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…