Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Mkuu naomba unipe utofauti wa hedge fund investors na Forex retail traders in details
Hedge fund inakusanya hela za watu na kuwekeza mahala mbalimbali wanakojua wao na wewe wanakupa fixed return like utt , so so wanatumia hela zako wewe wanazalisha zaidi Ila wewe wanakupa kiodgo Mana wao wanajua zaidi yako wewe. Ndio Mana ya technical know HOW and WHY iko ghali mno kuilipa na kuipata. Na skills are expensive to get than Money.

Kuna mutual fund nayo Ni Kama iyo iyo sema Sasa mutual fund inakusanya hela ndogo ndogo za watu binafsi ama kikundi kidogo Cha watu.

Ila hedge fund Ni taasisi inayo deal na hela za taasisi kubwakubwa like nssf, tanesco,shule ama chuo fulani.
Nayo pia Kuna makubaliano ya return fulani fixed in terms of percentage ya kamisheni na fee wanachaji pia both mutual and hedge fund.

Retailer investor/trader huyu Ni single person like me who manage his own money without expecting his capital from other people.

Before buffet alikuwa na hela za watu Ila later akawarudishia akakomaa na zake tu
 
  • tafauti kubwa ni hedge fund wanatrade na retail wana bet
  • in recent years Hedge funds wanatrade electronically retail wanasoma charts
  • hedge fund wana pesa ya kurudisha market direction incase wakiwa wanaenda loss, retail akichoma anaenda kulima
  • hedge funds hawaelewi kwann watu wanatumia technical analysis, retail technical analysis ndo syllabus
  • hedge funds wana taarifa sahihi retail hawajui chochote kinachoendelea
  • retail will always LOOSE hedge funds ni ngumu sana kutoka nje ya biashara
  • Hedge funds wanatrade moja kwa moja na shirika husika retail anatumia broka

Hizi ndo tafauti kubwa zaidi zipo nyingi
 
Hedge fund inakusanya hela za watu na kuwekeza mahala mbalimbali wanakojua wao na wewe wanakupa fixed return like utt , so so wanatumia hela zako wewe wanazalisha zaidi Ila wewe wanakupa kiodgo Mana wao wanajua zaidi yako wewe. Ndio Mana ya technical know HOW and WHY iko ghali mno kuilipa na kuipata. Na skills are expensive to get than Money.

Kuna mutual fund nayo Ni Kama iyo iyo sema Sasa mutual fund inakusanya hela ndogo ndogo za watu binafsi ama kikundi kidogo Cha watu.

Ila hedge fund Ni taasisi inayo deal na hela za taasisi kubwakubwa like nssf, tanesco,shule ama chuo fulani.
Nayo pia Kuna makubaliano ya return fulani fixed in terms of percentage ya kamisheni na fee wanachaji pia both mutual and hedge fund.

Retailer investor/trader huyu Ni single person like me who manage his own money without expecting his capital from other people.

Before buffet alikuwa na hela za watu Ila later akawarudishia akakomaa na zake tu
Hedge fund hawawekezi bali wanatrade, buffet ni investor sio trader
 
Absolutely and exactly I meant it may be wrong writing.
Trading various financial assets sema wengi wanajua forex ambayo Ni trading currencies excluding others like commodities,bonds,stocks, precious metals, grains, etc.
They buy and sell on regular basis Ila Warren akiweka hela anasahau kabisa Kama Kuna mahala aliweka hela.
 
in forex you arent trading you are only betting because amna unachouza pale, if you purchase a stock, commidity via forex you dont own that asset but you own MKEKA wa hio asset, in business world mkeka wako unaitwa PERPETUAL CONTRACT amna kitu ulichonunua zaidi ya kumiliki huo mkeka, so itsnot trading its betting
 
Noted late legendary BoT forex trader
 
in forex you arent trading you are only betting because amna unachouza pale, if you purchase a stock, commidity via forex you dont own that asset but you own MKEKA wa hio asset, in business world mkeka wako unaitwa PERPETUAL CONTRACT amna kitu ulichonunua zaidi ya kumiliki huo mkeka, so itsnot trading its betting
Wewe unayajua sana haya mambo, mimi nimesoma kidogo sasa eti najiandaa kufanya CFA level I exam si ndio utapeli wenyewe huu. Yani calculations za kutafuta Exposure, Variance, co variance na kujua mtu au kampuni ita hedge vipi ni kasheshe, calculation zinanitesa eti nataka kufanya CFA level I nitaweza kweli?
 
Naelewa sana. Ni kuchangamsha hadhara tu. Haya maujinga ya forex by the way utapeli wake tu.eshaudiscuss sana humu miaka mingi tangu watu waungie chaka kwa ontario kwahiyo hakuna jipya uliloleta.
Ila huyu mwamba ONTARIO ni genius aisee.

Yani Ile article yake ya kuintroduce Forex hapa JF kuanzia South Africa vichwa panzi lazima wajae.

Wana JF walianza kudownload mapesa.
 
Wewe unayajua sana haya mambo, mimi nimesoma kidogo sasa eti najiandaa kufanya CFA level I exam si ndio utapeli wenyewe huu. Yani calculations za kutafuta Exposure, Variance, co variance na kujua mtu au kampuni ita hedge vipi ni kasheshe, calculation zinanitesa eti nataka kufanya CFA level I nitaweza kweli?
apo mara nyingi utadeal na portfolio management haihusiani sana na izi betting za mt4
 
Yeap Portifolio Management na Ethical and Professional Standards. Lakini Na sweat sio mchezo, hahaha.
Naona unavyochambua utadhani Dr.Riki kwenye soka letu.
 
Ila huyu mwamba ONTARIO ni genius aisee.

Yani Ile article yake ya kuintroduce Forex hapa JF kuanzia South Africa vichwa panzi lazima wajae.

Wana JF walianza kudownload mapesa.
Mimi nilimchana makavu kipindi kilekile nilikuwa na bro wangu alivurugwa na hayo mambo nikiwa na case study
 
Vipi kuhusu cryptocurrency/futures trading?
they have control over everything kinachofanyika na pesa hio sio tatizo kunakuaga na slight different apa na pale mfano rate ya dola voda ni tafauti na airtel ni trading kawaida, but overall kila mtu anatengeneza soko lake
 
Crypto futures ni sawa na Forex?
lakini pia broka anajua hio pesa haitatoka nje ya mfumo wake itabaki ndan kwa sababu ili uweze kufunga trades anatakiwa mzembe mwingine wa kufungua, so inakua circle mkeka umetoka uku unaenda kule but sio pesa inaozungushwa , so haiwezi kua trading kwa sababu hakuna ulichouza wala kununua

- trading wanafanya watu wanaofanya SPO(CASH) ndo wanaofanya trading halisia na hio sio kwa broka
 
Back
Top Bottom