Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Anzisha channel telegram uwe na followers wa kutosha baadaye uwapige hela ama uwauzie kozi uwambie kuwa hii Ni Siri ,umanage akaunti ndio hizo swaga za vijana wa BIPANS aka Bangladesh India Pakistan afaghastan Nigeria and sauzi afrika
 
Anzisha channel telegram uwe na followers wa kutosha baadaye uwapige hela ama uwauzie kozi uwambie kuwa hii Ni Siri ,umanage akaunti ndio hizo swaga za vijana wa BIPANS aka Bangladesh India Pakistan afaghastan Nigeria and sauzi afrika
Trading ina njia nyingi za kupata hela
1. Kutrade mwenyewe
2. Kumanage account za watu
4. Kufanya partnership na brokers
5. Kuuza online courses
6. Kufundisha.......

Mimi Trayvess Daniel nimechagua njia namba moja tu.
Na ukifika muda nikawiwa kuwa mentor basi
1. nitakua na transparent profile ya withdraw na myfxbook ya atleast mwaka mzima for every student to see
2. Mwanafunzi atachagua yeye lakini mimi ndo ntaamua kama nimkubali au nimkatae depending na vigezo.

Having said that sio kila mtu ni sarcastic, this is a business, naiheshimu na ntaendelea kuiheshimu na usinifananishe na people in your head ndugu. And from now on naona sina haja ya kujibu comments zako
 
I talked like mocking those people ama ku jokes ama kumeki funny of them Kama hujanielewa. Ila Naona mindset yako ulikuwa umeiseti ivyo ama ulikuwa na kitu tayari subconsciously.
Sio lazima ujibu kwani unadhani huwa Kuna kitu naongezeka, I don't depend on your answering my comments am sure you too.
Mie huwa naongea ama nasociliaze kwa kutoa kilicho kichwani mwangu mtu ajibi asijibu am really okay.
Mana napotoa maarifa is the more far way to cement them in my mind. So don't think am writing to be judged/answered. Weke Ile ignore this person si Kuna option hiyo ama omba Msaada uonyeshwe.
Eti Sina haja ya kujibu so what??? Ukijibu ili iweje???
 
Kusiwe na Maneno Mambo Mengi..Anayeona ni Scam aachane nayo na anayejua hii ni biashara na kuna watu wanatembeza maisha kwa hii kitu apambane kupata skills na trading edge ambayo iko back tested na imekupa matokeo mazuri...Otherwise ukija bila skills Broker lazima atakuchumu Tu na Market itaku humble vizuri mpaka Upate kinachotajika kuzipata pesa... Otherwise a nice trading to all hustlers
 
Ok mm sio mwepesi sana kutoa comment especially about financial markets because i have nothing to prove.....buh i am on top of the food chain. I choose to be bright every damn time of my life.
I mean i know a lion when i see it. You are one brother! Very well written piece of information right there. Nngemshaur alieanzisha hi thread achukue this golden piece of advice.
Friendly reminder to the thread starter " Traders who has the ability to question if the Schrodinger cat is even a cat get the bite of cheese from the market"
To be noted: after you are done with Techinical crap i kindly ask you to deeply excell yourself in fundermental analysis.....the force that truly moves the market then in few years to come you will reach a millionaire status.
Hey i wish you the very best of luck
With kind regards
Lenin23.
 
Nashukuru kaka nikiihitaji ushauri wa kina naomba niwe na kuPM pia
 
Im always atracted to poaitive mind don know why πŸ™
 
Nashukuru kaka nikiihitaji ushauri wa kina naomba niwe na kuPM pia
Wataongea kuwa nawafundisha ama nawapiga pesa. Pm usije ,hakuna kitu nachukia na watu wanao mislead wengine. Na wanawafanyisha ubongo wao wanakuwa emotionally so ukishakuwa Ivyo lazima upigwe utaona huyu jamaa Anazo Siri.
Ila ukinikuta Niko kwa mood nitatema madini Ila Sasa mpaka Ni feel
 
Nmekuelewa kiongozi
 
Karibu ..ila jifunze PRICE ACTION zaidi kuliko hayo maindicators.....kitu kingne achana na demo angalau fungua CENT AC ...Hiyo itakufunza kumaster emmotions kama vile hofu,tamaa na hasira... Pia wekeza zaid kwenye knowledge kuliko Profit hasa ukiwa ndo unaanza....then choose the right BROKER
 
Forex iko na hela mingi mno, huwezi maliza yote, ni vyema kuwajuza wenzako, sio kama hizi biashara zingine where mkiingia wengi faida inapungua..,
Nigawie kidogo hiyo hela mingi Don YF πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Forex iko na hela mingi mno, huwezi maliza yote, ni vyema kuwajuza wenzako, sio kama hizi biashara zingine where mkiingia wengi faida inapungua..,
By the way, unaendeleaje na hiyo kitu?
 
hedge my positions
Hapo kwenye HEDGE salute kwako....wewe ni level nyingine nenda kapumzike get prepare for interest rate ya USA, market imeanza ku-counter against impact tangu majuzi! Asante sana!
 
Hapo kwenye HEDGE salute kwako....wewe ni level nyingine nenda kapumzike get prepare for interest rate ya USA, market imeanza ku-counter against impact tangu majuzi! Asante sana!
Hi ya Leo mzee ni htr but on my side i wll give it a go! At least with 0.3 lotsize.
Last time fed were barrelling about 75bs point, buh it won't be surprise if we get 50bs ......in either way bullish move remain intent today
Coz if they cut the interest rate how they gonna handle inflation?
If they raise rate what about oil crisis?
I smell money here😎🀏
 
Niko natunza hii thread,Nakusubir ukileta mrejesho mbelen huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…