Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Ni hivii nazungumzia hii mitaji yetu watu tunachoma kwasababu tunahitaji tufike ktk peak then ndo tuanze safari iyo ya ten sijui five percent, inawezekana ila ndo ivo too risk ila ukitoboa umetoboa sijui unanielewa? Ipo acc from 500 to 17000 usd means ukishasecure profit hapo sasa unaweza sema sasa ninaanza kuwa discipline, sijui ten nini , hakuna 100 accurate setup ila zipo setup za kulala nazo mbele na ukabadili maisha within a day, waulize trader wote wa tz walioanzia from scratch watakuambia kuhusu hili, wachache sana waliogrow kwa compounding na ni hao walimu wazuri
 
Ungejua watu wanavyofilisika na hiyo michezo, ungenyamaza tu
Forex haina huruma mzee hata uwe na bilion tano ukifanya ujinga zinapea zote inahitaji profession yale ni mafuriko huwezi yazuia kwa mkono, ,kitu kinamchanganya hadi mzungu na elimu yake sembuse mimi na wewe st kayumba,
 
Hiyo miaka mitano ya kustudy game huna kazi ya kufanya au?
Forex haikuzii kufanya mambo mengine, pia hata kama unafanya kazi fixed laki nne kwa mwezi kwa mwaka fixed 4ml ukaja ukaieweza fx kwa kupambana iyo miaka mitano wa sita ukaweza make 400k kwa siku kwa mwezi 8ml kwa mwaka 90ml utakuwa umepoteza nini
 
Ukikuza account yako kwa bad behaviour utaichoma pia kwa bad behaviour..... discipline haina mpaka ifike account sijui ukubwa gani, start with discipline and finish with discipline......
Mentor ambaye hana cha kukuonesha zaidi ya screenshot za profit hana lolote.
Mentor akupee PL yake ya mwaka au akuoneshe wanafunzi ambao kweli are successful sio hizi flips za dollar 100 mpaka 1000.
 
Sipo kwa ajili ya kuonyeshana umwamba mkuu ,mie Ni kilaza relax Wala sijui kitu na Nina tredi demo ,kidogo najua utapumua.
Yaani mie Ni kilaza hata hiyo mt4/5 inafananaje.
Am low key figure man Wala Sina ujanja wowote. Najua neno lako ndio kanuni nakuheshimu mno guru wa cfd
 
Mbona unauliza swali gani sijui hata nikujibuje labda nikuulize. Hakuna watu wanaosoteaga demu miaka zaidi ya iyo. Unajua kuwa Usain bolt kukimbia ndani ya dakika mbili na kulipwa 69bn tzs,una taarifa kuwa alifanya zoezi for 20yrs.

Sio lazima kila mtu Ana chaguo lake mkuu
Hiyo miaka mitano ya kustudy game huna kazi ya kufanya au?
 
Pro tadera anaweza double account lakini wanajua its too risk,
Yaani ungejua ungekaa kimya, sema sie bongo kila mtu Ni Mhandisi,daktari,mhasibu,mwanasheria,dereva, journalist,na pia Ni accountant.
Naweza Nika reveal hapa sema Sina haja ya kukuthibitia ishu kubwa huwa nasema kuwa maisha Ni Imani wewe bakia unachoamini namie nibakie nachoamini.


Unajua kuwa elimu nyingi iliyoko public sio elimu sahihi ama ukicheki Ni common knowledge.
Yaani wote wanaiongelea kitu kile like. Unajua kuwa cut loss but how to cut loss or hold winners but how to hold winners.
Trading inaonekana easy due to some common wisdom words from guru ambazo ziko common.


Kama education iliyopo he Ni sahihi na Kama Ni sahihi umeshajiuliza why wengi Wana feli ingawa Kuna thousands and thousands of channels at YouTube, website,PDF files, teachers and educators,weekend courses but still it has got higher failure rate.
Hakuna sehemu nilipojifanya mjuaji sema wewe umekuwa biased namie.

Ila pia sie Ni watalaamu wa kila kitu. Mie Ni newbie labda sijui unachokisema.
Ngoja nikupe ukuu namie huwa Sina haja ya kukuaminisha ama nionekane najua mie sijui kitu kuwa na amani. Samahani wote niliotaka kuwapoteza jamani.
Mnisamehe bure
 
Maelezo meeengi kumbe bado unacheza na demo [emoji3]
Ingia weka mpunga utapigwa uchakae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaongea kitu ambacho hujui unaongea Nini mkuu. Hivi unajua lakini daktari anakaa miaka mingapi darasani kusoma tu?
Unajua ana practice miaka mingapi neurosurgeon mpaka anaachiwa mtu anamfanyia operesheni ya kichwa lakini.
Ama unajua kuwa unasoma miezi sita ama unahudhuria weekend course Basi unakabidhiwa mtu kumchana kichwa.
Unajua lawyer anasoma YouTube na baadhi ya PDF na anakuja kusimamia kesi between multinational companies like barrick and Tanzania na anashindwa kesi aliyoisimamia.

Unajua tu rubani anademo mwaka anaaachiwa arushe ndege amebeba mamilioni ya watu.

Hii Ni career Kama Career zingine zilivyo sema sie tuna rush to make money instead of developing the skills. Unapokuwa na skills hela Ni outcome ya right skills.

Unajua Michael Jordan ama kobe Bryant alikuwa ana practice Mara ngapi ama masaa mangapi per day.
Eliud kipchoge alikimbia siku 365 za mwaka bila ya kumisi hata siku moja akijiandaa na marathon aliyocheza uk na ndio ilikuwa sababu yake ya kushinda.

Kupata A ya Fizikia ama maths lazima ufanye mitihani kibao unanipa mwenyewe mazoezi mitihani isiyopungua hata alafu kumi,Tena unaifanya kwa muda mchache kuliko ule wa necta ili uingie uichukue A yako.

Hata mbususu unaisotea Ila mbususu ya maana sio hizi za kuuzwa mtaaani ama leo umechukua namba leo leo umemaliza.

Kuna unaipenda na umeipatia mbususu yako unayoipenda utaweza sotea hata miaka na miaka Ila ukiwa una uhakika wa kuipata.
Nothing come easy.

Samahani mie Ni kilaza ,am loser ,am just dambu esihole so relax
 
Uko vyema kiongozi umenipa mwanga
 
Trading sio utapeli,
Waliingia wakajua hela za bila ya jasho wakachezea za uso wanaamua kuiponda. Inahitaji commitment ya Hali ya juu mno.

Huhitaji capital kubwa
Kumeki money is skill na sio kuwa inabidi uwe na hela. It takes an entrepreneur to start a business na sio kuwa Ni mtaji.
Kuna huyu mwamba aliyeanza na $400 akaipeleka mpaka $200M Richard Dennis aliyefundisha wale jamaa wa turtle traders.
Ni kweli iyo $200 Kama una knowledge kwa mwaka huwezi ukashindwa kuifikisha hata $10k Ila Kama una right skills. Hizi skills sio za mchezo kuzipata ndio shida ilipo hapo. Huwezi zipata na huku upo ofisini
 
Unahitaji elimu ya theory then unahitaji experience ya live market...... na vyote hivyo sio kitu cha muda mchache it takes time.

Si kweli, hata ukiwa ofisini unaweza kujifunza for as long as long una mtandao, sababu the most part utajifunza after work hours, execution huhitaji kukomalia charts ni kuset alerts tu zikiita unacheki kinachoendela, na mtu aliyeajiriwa best strategy ni swing trading. Ofisi hizi za kibongo ambazo mtu work hours yupo whatsap na instagram ushindwe kufanya execution???? Si kweli.
Tena ukiwa na kazi pressure ya pesa za haraka inapungua so unajifunza more effectively kuliko mjobless
 
Umetoa nondo brother/sister
 
Jikazeni forex si lele mama inakuhitaji kuinstall ubongo mpya na hisia mpya, accept small loss ,accept break even, avoid revenge, jifunze ku call it a day no matter what, find good and simple strategy stick to it, accept compounding, develop patience, create many accounts as many as possible, toa pesa sokoni invest ktk mambo mengine, enjoy your carrier, saidia sana kadri uwezavyo,

Forex change lives and forex kill ,jitasmini sana unakosea wapi then correct,
Natamani kila mmoja aijue tu ila bila kuweka pesa
.
 
Forex haina huruma mzee hata uwe na bilion tano ukifanya ujinga zinapea zote inahitaji profession yale ni mafuriko huwezi yazuia kwa mkono, ,kitu kinamchanganya hadi mzungu na elimu yake sembuse mimi na wewe st kayumba,
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ Kama betting yenyewe kina tatu mzuka na wenzake hawana huruma ndio atakuwa huyu mnyama fx c'mon. Hii Biashara sio trial and error.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…