Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndgu yangu unaonekana umeshakwepa mishale mingi kwenye charts, naona kila unachoongea ni facts ambazo newbiz inabidi wapate kma pumzi ili waishi.Mpaka umfuate mtu akufundishe basi kunakitu umeona kwake achana na wale wanaokuita , binafsi siwezi mkomvinsi mtu nimfundishe forex ila nitamdirect nenda kwa fulani
Hawa ndio wanafanya hii biashara ionekane ni ya matapeli. Acheni njaaa na signals zwnu hizo za kuchomaaaAchana nayo mm natrade mtfe unapewa signal Moja kw siku uhakika baba madogo wanamagar maisha wameyabadilisha ntafute nkuelekeze 0782912118
Japo ni ngumu ila ukiondoa tamaa za kijinga inasaidia kusukuma maisha. Ukiingia kutafuta mamilioni utapigwa uchanganyik
Mzeebaba nakubali maneno yako. Yaani ni kama vile imani, unaamini katika yale yasioonekana. Wewe tu ndio unaona nini unataka. Alafu zile material things zikiwa nyingi ndio watu wanaanza aaah kumbe kweli bhana jamaa katoboa😂😂😂ila waswahiliii kazi tunayoForex is legal business, fanya kwa utulivu na ukianza kufocus hakikisha unakuwa mbali na watu
Forex is not for everyone. Ni sentensi ndogo sana lakini ni pana mnoo. Hapa wale wazee wa pupa wakishaumia ndio huwa wanairudia kuisoma upya hii sentesi alafu akili kumkichwaIkumbukwe tu kwamba Forex ni Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!...Forex is not for everyone !
Upo mkoa gani na umetumia vitabu vipi kujifunza?Wanangu niisaidieni na mmi nijue hiyo kitu nimesumbuka sana nimesoma,hela nimetoa lkn wap🙄🙄...naomben msaada niijue forex
Pole sana mkuu but hongera ,kitu mojawapo kinachofanya hii kitu kua kama free money , look at jpy drop siku ya Jana chii 💡Nina almost 7years katika tasnia hii, milima na mabonde, bado una safari ndefu sana ndugu yangu. Sema nikupe siri 'USIIKATIE TAMAA FX' ukipigwa ndo unacorrect mistakes, nlishawahi poteza $5000 ndan ya usiku mmoja wa mwaka mpya, niliumwa ad kulazwa sitosahau dadek... kilichoniponza ni kushoboka na signals za watu, Nilijifunza kufanya analysis zangu mimi mwenyewe. Now mwendo mdundo Dollar zangu zimerudi na kuzidi.
Sjakuelewa mkuuNipo hapaaaa
Pole sana mkuu but hongera ,kitu mojawapo kinachofanya hii kitu kua kama free money , look at jpy drop siku ya Jana chii [emoji362]View attachment 2453365
Pole sana mkuu but hongera ,kitu mojawapo kinachofanya hii kitu kua kama free money , look at jpy drop siku ya Jana chii [emoji362]View attachment 2453365
Kweli kaka mm uwa nafanya fundermental sana izi techinical znaitaji risk kubwa ukikompea na news spikeSema Safi pips za kutosha sana hapo..
Kweli kaka mm uwa nafanya fundermental sana izi techinical znaitaji risk kubwa ukikompea na news spike