Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Kuna mtu anaitwa Rufus rajji....antrend sana instagram....kuna yeyote anayejua ABCs zake maana mwamba ana magar mapyakila siku...yupo Expert Option
 
Kaka mifumo unayoitumia ni yakizaman saan technology imebadilika Sasa hv mabrokers wamerahisisha njia ya kutrade wanakupa signal kw dollars wengine wanakukata service charge wanakupa muda wa kuingia sokon na kutoka na unaenda kwjil ya kubuy au kusell hyo njia yko utachelewa San mm ninatrade kw kutegemea signal sitak kuumiza kichwa
 
Achana nayo mm natrade mtfe unapewa signal Moja kw siku uhakika baba madogo wanamagar maisha wameyabadilisha ntafute nkuelekeze 0782912118
 
Mpaka umfuate mtu akufundishe basi kunakitu umeona kwake achana na wale wanaokuita , binafsi siwezi mkomvinsi mtu nimfundishe forex ila nitamdirect nenda kwa fulani
Ndgu yangu unaonekana umeshakwepa mishale mingi kwenye charts, naona kila unachoongea ni facts ambazo newbiz inabidi wapate kma pumzi ili waishi.
 
Ukweli mchungu, watu wanataka apate hela ya kujenga siku moja😂😂
Japo ni ngumu ila ukiondoa tamaa za kijinga inasaidia kusukuma maisha. Ukiingia kutafuta mamilioni utapigwa uchanganyik
 
Forex is legal business, fanya kwa utulivu na ukianza kufocus hakikisha unakuwa mbali na watu
Mzeebaba nakubali maneno yako. Yaani ni kama vile imani, unaamini katika yale yasioonekana. Wewe tu ndio unaona nini unataka. Alafu zile material things zikiwa nyingi ndio watu wanaanza aaah kumbe kweli bhana jamaa katoboa😂😂😂ila waswahiliii kazi tunayo
 
Ikumbukwe tu kwamba Forex ni Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!...Forex is not for everyone !
Forex is not for everyone. Ni sentensi ndogo sana lakini ni pana mnoo. Hapa wale wazee wa pupa wakishaumia ndio huwa wanairudia kuisoma upya hii sentesi alafu akili kumkichwa
 
Nina almost 7years katika tasnia hii, milima na mabonde, bado una safari ndefu sana ndugu yangu. Sema nikupe siri 'USIIKATIE TAMAA FX' ukipigwa ndo unacorrect mistakes, nlishawahi poteza $5000 ndan ya usiku mmoja wa mwaka mpya, niliumwa ad kulazwa sitosahau dadek... kilichoniponza ni kushoboka na signals za watu, Nilijifunza kufanya analysis zangu mimi mwenyewe. Now mwendo mdundo Dollar zangu zimerudi na kuzidi.
 
Nina almost 7years katika tasnia hii, milima na mabonde, bado una safari ndefu sana ndugu yangu. Sema nikupe siri 'USIIKATIE TAMAA FX' ukipigwa ndo unacorrect mistakes, nlishawahi poteza $5000 ndan ya usiku mmoja wa mwaka mpya, niliumwa ad kulazwa sitosahau dadek... kilichoniponza ni kushoboka na signals za watu, Nilijifunza kufanya analysis zangu mimi mwenyewe. Now mwendo mdundo Dollar zangu zimerudi na kuzidi.
Pole sana mkuu but hongera ,kitu mojawapo kinachofanya hii kitu kua kama free money , look at jpy drop siku ya Jana chii 💡
Screenshot_20221221-080138.jpg
 
Forex itakuwa ni real pekee kama nyie gamblers msiojitambua kuandika Uzi kulazimisha watu waamini mnachoamini.

👉Inakuwaje unatumia nguvu kuaminisha watu insteady stay at your room making money and cash out.

👉Kwa nn mnakuwa wapumbavu kiasi cha kupost mpaka faida ,means forex traders 99% ni washamba ukiwaangalia ulishwai kuona wahindi wakipost amount wanapata per day na hao ndo wanatuburuza kwa pesa.
👉Roho za binadamu tunazijua kabisa hawezi kuelewa kitu wewe mtu baki bila ya kunufaika ,ni kwamba ukiitwa kwney fursa wewe ndo fursa.

👉Usichokijua forex ni emotional oriented na iko kukamata akili kwanza ili ulipigwa bado unaenda kusema ipo siku kama betting behind the scene ni kwamba akili yako ishatekwa ndo maana vitabu vingi viko kuandaa emotional na soko .kila forex guru atakuja na story nishwai kupigwa pes ndefu hata $10,000 na zaidi ili wewe ulipigwa na mbele unaona giza uzidi kuhold na kuendelea huku ukiwa na matumaini lukuki.

👉Tunajua matajiri wengi hata shabiby juzi kasema at 19 years alikuwa na ndinga ila hajawai sema katoa wapi ,ila ni forex tu mtu anakuambia pesa hizi nimetoa kweny forex.

👉Forex lazima ipigiwe promo coz wanaonufaika ni dealer na players kweny soko ambao wengi hawana risk za moja kwa moja ,Watu hao ni mentor/coacher, brockers, writers wa vitabu na wazee wa IB( refferal link) hawa wa kusambaza link kama IB( introducing broker) na ndo bongo wako kibao hata mentors wanakuforce unatrade na broker wao.

Niko kwney industry kitambo madogo wengi mmetoka chuo na emotional ndo maana mnaaminishwa vitu havipo..Sio mchongo forex ni mchongoma

Hawa matajiri bongo wote kwa kiasi fulani wapo kweny cycle moja unaweza usijue ila ukweli nakusanua ni ngumu big deals zote wasitambua na wanapeana shavu kwa kiasi fulani ila aliyenacho aongeze ..Nina maana diamond ana ukaribu na Mo dewji ,mzee mengi ( marehemu) hata vunjabei ..

So Nina maana gani?👉 Kama forex ingekuwa mchongo hao wangekuwa vinara maana hata Mo dewji mchongo wa cryptos anaujua angewatonya ila kwa bongo ni uongo hata Mimi katika kumshirikisha ubongo forex unajikuta kama chini unajaza mastatus ya magraph kwamba umepiga pesa kama kichaa kwa nn ni forex tu? Kuna walakini mahali.

Usikae ukadanganya watu watakuwa pumbavu kabisa forex regulations zake am pretty sure ziko swa na za betting.

Povu ruksa!!
 
Back
Top Bottom