Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Hivi watu bado mnachoma account.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifundishe na mimi mkuu, nahitaji/napenda kujifunza trading.Mkuu nipe tip kuna mdogo wangu nae alinipa tip juzi yani hio ni tamu sana inatii muelekeo ikianza inaelekea huko huko haibounce back kirahisi
Nifundisheni namie jamani.Hizi ukiwa mjanja kuanzia $10 una grow mtaji vyema tu
Wekeza kwenye elimu mkuu.Nifundisheni namie jamani.
Ninao mtaji wa kuanzia.
Kuna site yoyote/ video/ document naweza soma nikapata stata?
Nikatafute wapi sasa...Wekeza kwenye elimu mkuu.
Vinginevyo utapogwa uanze kutulaumu.
Gharamia ukatafute elimu huwezi kufundishwa online pekee eti uanze kutrade
Forex na binary/deriv zote zinatumia charts hizo hizo tofauti ni binary inapatikana mt5 pekee.Nikatafute wapi sasa...
Unamaanisha nipande ndege niende South Africa?
Nishawahi kutrade forex 3 years ago nikaacha (kuna robot ilichoma account yangu)
Shida yangu nijifunze hizi binary options.
Ukiweza nenda hata Marekani mkuu.Nikatafute wapi sasa...
Unamaanisha nipande ndege niende South Africa?
Nishawahi kutrade forex 3 years ago nikaacha (kuna robot ilichoma account yangu)
Shida yangu nijifunze hizi binary options.
Wewe naona unanikatisha tamaa tu.Ukiweza nenda hata Marekani mkuu.
Pesa haipatikani kilelemama boss wangu
Basi njoo nyumbani kwangu nikufundishe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe naona unanikatisha tamaa tu.
Sijui unataka upige hela peke yako.
Trader gani unakua 'Selfish' namna hii?
Unawafundishaje hao wanafunzi?Basi njoo nyumbani kwangu nikufundishe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora kuwa selfish kuliko kujitoa na ukalipwa matusi kama Ontario.
Mimi binafsi nina wanafunzi wasiopungua 150 humu jf so sina deni na mtu.
Kwa mwelekeo huu huna nia njema na mimi.Unawafundishaje hao wanafunzi?
Unawachaji shingapi?
Unawapa mentorship/ setups/ signals au training?
Namie nataka niwe mwanafunzi wako.
Wewe kama zito kabwe tu[emoji1787][emoji1787][emoji3577]Hahahahahah usimuamini mwanasiasa bro[emoji28]
Kafie mbele 'Mr. Selfish'Kwa mwelekeo huu huna nia njema na mimi.
Utafanya mchango wangu uonekane niko hapa kutafuta wateja.
Ungemaanisha usingetumia njia hii kupata msaada.
Kwaheri
Hivi mkuu yale ma synethic indeces yana represent nini in real life?Very rare...tamaa pekee ndio itakuchomesha akaunt
Niwe mkweli hata mimi nimefuatlia sana sijui ni kitu gani haswa nisiwe muongo.Hivi mkuu yale ma synethic indeces yana represent nini in real life?
Nimegoogle nimechemka.
Wewe ni muongo. Tapeli.Niwe mkweli hata mimi nimefuatlia sana sijui ni kitu gani haswa nisiwe muongo.
Zaidi nafurahia matokeo tu yani dola[emoji23]
Mkuu si ulikuwaga unadanrodi hela zama za ontario mwamba wa jangid plazaNifundishe na mimi mkuu, nahitaji/napenda kujifunza trading.
Niya ninayo, mtaji (wa kuanzia) ninao. Niingie chimbo gani nipate starting point?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu si ulikuwaga unadanrodi hela zama za ontario mwamba wa jangid plaza