Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

Mkuu nipe tip kuna mdogo wangu nae alinipa tip juzi yani hio ni tamu sana inatii muelekeo ikianza inaelekea huko huko haibounce back kirahisi
Nifundishe na mimi mkuu, nahitaji/napenda kujifunza trading.

Niya ninayo, mtaji (wa kuanzia) ninao. Niingie chimbo gani nipate starting point?
 
Wakuu nipeni namie maujanja.
Nataka nizikimbie Crypto currency, hazinipi faida.
 
Nifundisheni namie jamani.
Ninao mtaji wa kuanzia.

Kuna site yoyote/ video/ document naweza soma nikapata stata?
Wekeza kwenye elimu mkuu.
Vinginevyo utapogwa uanze kutulaumu.
Gharamia ukatafute elimu huwezi kufundishwa online pekee eti uanze kutrade
 
Wekeza kwenye elimu mkuu.
Vinginevyo utapogwa uanze kutulaumu.
Gharamia ukatafute elimu huwezi kufundishwa online pekee eti uanze kutrade
Nikatafute wapi sasa...
Unamaanisha nipande ndege niende South Africa?

Nishawahi kutrade forex 3 years ago nikaacha (kuna robot ilichoma account yangu)

Shida yangu nijifunze hizi binary options.
 
Nikatafute wapi sasa...
Unamaanisha nipande ndege niende South Africa?

Nishawahi kutrade forex 3 years ago nikaacha (kuna robot ilichoma account yangu)

Shida yangu nijifunze hizi binary options.
Forex na binary/deriv zote zinatumia charts hizo hizo tofauti ni binary inapatikana mt5 pekee.

Mimi sikufundishwa binary bali nilitumia uzoefu wa forex
 
Nikatafute wapi sasa...
Unamaanisha nipande ndege niende South Africa?

Nishawahi kutrade forex 3 years ago nikaacha (kuna robot ilichoma account yangu)

Shida yangu nijifunze hizi binary options.
Ukiweza nenda hata Marekani mkuu.
Pesa haipatikani kilelemama boss wangu
 
Ukiweza nenda hata Marekani mkuu.
Pesa haipatikani kilelemama boss wangu
Wewe naona unanikatisha tamaa tu.
Sijui unataka upige hela peke yako.

Trader gani unakua 'Selfish' namna hii?
 
Wewe naona unanikatisha tamaa tu.
Sijui unataka upige hela peke yako.

Trader gani unakua 'Selfish' namna hii?
Basi njoo nyumbani kwangu nikufundishe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Bora kuwa selfish kuliko kujitoa na ukalipwa matusi kama Ontario.
 
Basi njoo nyumbani kwangu nikufundishe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Bora kuwa selfish kuliko kujitoa na ukalipwa matusi kama Ontario.

Mimi binafsi nina wanafunzi wasiopungua 150 humu jf so sina deni na mtu.
Unawafundishaje hao wanafunzi?
Unawachaji shingapi?

Unawapa mentorship/ setups/ signals au training?

Namie nataka niwe mwanafunzi wako.
 
Unawafundishaje hao wanafunzi?
Unawachaji shingapi?

Unawapa mentorship/ setups/ signals au training?

Namie nataka niwe mwanafunzi wako.
Kwa mwelekeo huu huna nia njema na mimi.
Utafanya mchango wangu uonekane niko hapa kutafuta wateja.

Ungemaanisha usingetumia njia hii kupata msaada.
Kwaheri
 
Kwa mwelekeo huu huna nia njema na mimi.
Utafanya mchango wangu uonekane niko hapa kutafuta wateja.

Ungemaanisha usingetumia njia hii kupata msaada.
Kwaheri
Kafie mbele 'Mr. Selfish'
 
Back
Top Bottom