sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 360
- 288
Utam wa forex utapigwa sn mwanzoni na utakua mpweke sn na unwz karibia kupata nervous break down,lkn cku utakaposimama utarudisha pesa zote ulizowahi kupoteza,la mcng ni kutokata tamaa na kusurvive mpk ufikie malengoHasara ya kilimo au biashara nyingine ni tofauti na ya forex. Forex unaunguza mtaji wote wakati wowote lkn biashara nyingine angalau waweza kupata hasara lkn kuna mtaji utasalia.