Sasa unapata faida gani kuwa demo trader kwa miaka ya kutosha?IAM demo trader. I had been consistently profitable demo trader for a couple of years.
I don't have to feed my EGO.
I Know how ego is working against me
Vipi kuhusu MTFE?Mkuu mi sio mentor ila napenda kufundisha tangu nasoma ,Nimetoa traders wengi sana wala sijawahi omba at mia yao,well unasema kuchukuwa pesa sokoni ni ngumu yes ni ngumu ndio haswa. Inahitaji usiwe na uhitaji nazo ndio unazichukuwa vyema ila ukiwa na pupa hata sent uchukuwi, alafu kupoteza kawaida mi nshapoteza miezi mfululizo no profit ila tatizo iikuwa sikolojia, alafu saiv trading sio kama zamani kuna funding acc nami ndo nina trade sana izo 100k funded na nipo up 10percent
My heart understands what it wants more than your heart. Don't try to interfere my inner voice always tells me where I have to go or do. This is natural creation. Everybody has got thisSasa unapata faida gani kuwa demo trader kwa miaka ya kutosha?
Si uingie real au kama unaogopa jaribu prop films kama myfunded fx, lipia 50$ fanya challenge upate 50000$ account.
Jinga lingineKaka Mimi nakushauri uendelee kujifunza zaidi Forex,Kwa sababu kamu ungekuwa unaelewa vizuri biashara hii basi hili swali usingeuliza kwani kiwango cha faida utakacho tengeneza kutokana na pips kitakuwa defined na :1.margin (depends on equity) 2.leverage 3.lots size
hivi VITU vitatu ndio vitaamua bei ya pip ya Moja ( pip value)
Kwa hiyo unaweza kusanya pip hata hamsini Kwa wiki Ila hivyo vitu ndio vitaamua hizo pips zako ziwe ni Sawa na Dola ngapi,
Kwa mfano Una margin ya USD 10, leverage ya 1:100,na lots size ya 0.01,hapo pip value itakuwa 0.01 USD(kila pip Moja itakuwa na thamani ya Dola 0.01) Kwa hiyo apo pips 50 zitakuwa Sawa na 0.5 USD, Ila ukibadilisha kimoja Kati ya hivyo basi pip value itaongezeka au kupunguza,(lakini kumbuka kuwa hiyo pip value pia ukipata loss itakuwa na loss ya thamani hiyo hiyo,Kwa hiyo soma Kwanza Forex risk management)soma Sana Kaka Kwa level uliyopo siku shauri uweke pesa Kwa broker mkuu,Ila Forex ukielewa pesa zipo.
Kwa ushauri wa kibiashara,wasiliana na Mimi Kwa mawasiliano haya;
Raphael kalolo
phone/watsapp:+255756401790
email: raphaelmathewkalolo@gmail.com
Instagram: raphaelkalolo23
physical address:dar es salaam,posta.
Mtfe mi sijawahi jaribu ila wapo wanotumia na wanapat so risk ambacho hutaumia sana kukipoteza ila mi naona wengi hufaidika na refferalsVipi kuhusu MTFE?
Ulichoandika unakielewa kweli trashKaka Mimi nakushauri uendelee kujifunza zaidi Forex,Kwa sababu kamu ungekuwa unaelewa vizuri biashara hii basi hili swali usingeuliza kwani kiwango cha faida utakacho tengeneza kutokana na pips kitakuwa defined na :1.margin (depends on equity) 2.leverage 3.lots size
hivi VITU vitatu ndio vitaamua bei ya pip ya Moja ( pip value)
Kwa hiyo unaweza kusanya pip hata hamsini Kwa wiki Ila hivyo vitu ndio vitaamua hizo pips zako ziwe ni Sawa na Dola ngapi,
Kwa mfano Una margin ya USD 10, leverage ya 1:100,na lots size ya 0.01,hapo pip value itakuwa 0.01 USD(kila pip Moja itakuwa na thamani ya Dola 0.01) Kwa hiyo apo pips 50 zitakuwa Sawa na 0.5 USD, Ila ukibadilisha kimoja Kati ya hivyo basi pip value itaongezeka au kupunguza,(lakini kumbuka kuwa hiyo pip value pia ukipata loss itakuwa na loss ya thamani hiyo hiyo,Kwa hiyo soma Kwanza Forex risk management)soma Sana Kaka Kwa level uliyopo siku shauri uweke pesa Kwa broker mkuu,Ila Forex ukielewa pesa zipo.
Kwa ushauri wa kibiashara,wasiliana na Mimi Kwa mawasiliano haya;
Raphael kalolo
phone/watsapp:+255756401790
email: raphaelmathewkalolo@gmail.com
Instagram: raphaelkalolo23
physical address:dar es salaam,posta.
ndioUlichoandika unakielewa kweli trash
Sawa.My heart understands what it wants more than your heart. Don't try to interfere my inner voice always tells me where I have to go or do. This is natural creation. Everybody has got this
Mbona umemuita hivyo mkuu?Jinga lingine
Mkuu itabidi nikuone pm......Ulichoandika unakielewa kweli trash
Tupe wewe ufafanuz mzuri tuelewe sasa usiishie tu kuita jingaJinga lingine
hata Mimi nashangaaTupe wewe ufafanuz mzuri tuelewe sasa usiishie tu kuita jinga
Yupo sahihi ila kazunguka saana kitu kidogo ka kicomplicate yani ilibid asee lot size *pips =profit/loss amountMkuu itabidi nikuone pm......
On the other hand huyo jamaa hapo mbona alichokisema ni uhalisia why unasema alichokiandika amekielewa/hajakielewa?
Kuwithdrawal ktk niniNataka kuuza/kuwithdrawal. Naomba msaada
Mikwala mingi kama mshakuwa professional vileMy heart understands what it wants more than your heart. Don't try to interfere my inner voice always tells me where I have to go or do. This is natural creation. Everybody has got this
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mikwala mingi kama mshakuwa professional vile
Uingereza , ni mzuri sana Kama utaweza kumudu initial deposit na Withdrawal yake , ipo juu Sana $100 ,Huyo tickmill vipi ana office tz? Broker wa nchi gani huyu.
Mkuu acha hiyo mistake next time lot size 0.01 × 50pips = 5usd??? I think ni 0.5usdYupo sahihi ila kazunguka saana kitu kidogo ka kicomplicate yani ilibid asee lot size *pips =profit/loss amount
Levarage ina bust capital ili margin iwe kubwa namargin number itakupa uwezo wa kutumia lot size utakayo
0.01lot *50pips equal to 5Usd
Pips ni different between price move
If market stuck then no money g6
Yupo hivyo na anatumiwa na traders wengi Sana Duniani , ni uamuz wako uverify au uache , Ila Cha msingi hakikisha zile taarifa muhimu zinazotakiwa wakati wa kuverify unavyo , maana Kuna muda unaweza kuhitajika uverify huwa wanatuma emailsasa huyo ambae haitaji verification mbona kumuamini inakuwa shida kidogo
Oky Vipi ana office hapa bongo?Uingereza , ni mzuri sana Kama utaweza kumudu initial deposit na Withdrawal yake , ipo juu Sana $100 ,