Kaka Mimi nakushauri uendelee kujifunza zaidi Forex,Kwa sababu kamu ungekuwa unaelewa vizuri biashara hii basi hili swali usingeuliza kwani kiwango cha faida utakacho tengeneza kutokana na pips kitakuwa defined na :1.margin (depends on equity) 2.leverage 3.lots size
hivi VITU vitatu ndio vitaamua bei ya pip ya Moja ( pip value)
Kwa hiyo unaweza kusanya pip hata hamsini Kwa wiki Ila hivyo vitu ndio vitaamua hizo pips zako ziwe ni Sawa na Dola ngapi,
Kwa mfano Una margin ya USD 10, leverage ya 1:100,na lots size ya 0.01,hapo pip value itakuwa 0.01 USD(kila pip Moja itakuwa na thamani ya Dola 0.01) Kwa hiyo apo pips 50 zitakuwa Sawa na 0.5 USD, Ila ukibadilisha kimoja Kati ya hivyo basi pip value itaongezeka au kupunguza,(lakini kumbuka kuwa hiyo pip value pia ukipata loss itakuwa na loss ya thamani hiyo hiyo,Kwa hiyo soma Kwanza Forex risk management)soma Sana Kaka Kwa level uliyopo siku shauri uweke pesa Kwa broker mkuu,Ila Forex ukielewa pesa zipo.
Kwa ushauri wa kibiashara,wasiliana na Mimi Kwa mawasiliano haya;
Raphael kalolo
phone/watsapp:+255756401790
email:
raphaelmathewkalolo@gmail.com
Instagram: raphaelkalolo23
physical address:dar es salaam,posta.