Forex traders naombeni msaada tafadhari

Umezengua sanaa.
 
Data moyo wako unavyosema mbali na hapo utakuja jutia
 
Natumae mleta mada umepata muongozo...
 
hivi nimeandika USD 5 mkuu em pitia tena, nimeandika 0.5 usd
 
1. Broka mzuri ni Tickmill
2. Swali la pili halina msingi. Kuvuna idadi ya pips inategemea soko na uwezo wako katika kujua entry point na exit point.
Hii ni muhimu sana kulifahamu kwasababu
A) unaweza kuingia sokoni ukiwa umechekewa kuingia na ghafla soko likabadili uelekeo.
B)Kutoka sokoni..hii nayo ni point muhimu....ukichelewa kutoka sokoni pia unaweza kuishia kupata hasara.

Haya niliyoyaanfika ni ya msingi kwa biginners
 
huwa nawachora sana wanaojiita maguru na kuwa na vimbele mbele vya kufundisha beginers, wameshindwa kupata hela sokoni kazi yao imekuwa utapeli tu...washenzi sana hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…