Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Broker yupiNataka kuuza/kuwithdrawal. Naomba msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broker yupiNataka kuuza/kuwithdrawal. Naomba msaada
Africa ana office sehemu moja tu Africa kusiniOky Vipi ana office hapa bongo?
Umezengua sanaa.Mkuu acha hiyo mistake next time lot size 0.01 × 50pips = 5usd??? I think ni 0.5usd
Halafu kitu kingine pia profit/loss =lot size ×pips×$value per pip
Mf unatumia lot size ya 0.01(micro lot) na una pips hizo 50 profit /loss =
0.01×50×0.1($value per pip) = 0.05$
Hivi ndivyo mimi nnavoelewa mkuu kwa mujibu wa source nilizopitia. So ndio mana nataka tusaidiane knowledge zaidi tuweze kuielewa hii industry vizuri mkuu
Ego is under controlMikwala mingi kama mshakuwa professional vile
Nimezengua wapi mwambaUmezengua sanaa.
Data moyo wako unavyosema mbali na hapo utakuja jutiaHii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
hivi nimeandika USD 5 mkuu em pitia tena, nimeandika 0.5 usdMkuu acha hiyo mistake next time lot size 0.01 × 50pips = 5usd??? I think ni 0.5usd
Halafu kitu kingine pia profit/loss =lot size ×pips×$value per pip
Mf unatumia lot size ya 0.01(micro lot) na una pips hizo 50 profit /loss =
0.01×50×0.1($value per pip) = 0.05$
Hivi ndivyo mimi nnavoelewa mkuu kwa mujibu wa source nilizopitia. So ndio mana nataka tusaidiane knowledge zaidi tuweze kuielewa hii industry vizuri mkuu
1. Broka mzuri ni TickmillMambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
Mimi nilimquote heartbeats hapo juu ndiye aliyesema Usd 5 sio wewehivi nimeandika USD 5 mkuu em pitia tena, nimeandika 0.5 usd
heeeMimi nilimquote heartbeats hapo juu ndiye aliyesema Usd 5 sio wewe
Hahaha wezi haoDeriv
Muwakilishi wa Tickmill niko hapa kwa maswali yoyote karibu sana nitakusaidia.Huyo tickmill vipi ana office tz? Broker wa nchi gani huyu.
Mkuu ni pm namba zako tuwasilianeMuwakilishi wa Tickmill niko hapa kwa maswali yoyote karibu sana nitakusaidia.
Pia kwasasa tunatoa mafunzo ya forex bila gharama zozote
Tayari kaka.Mkuu ni pm namba zako tuwasiliane
Tuliovuna renec saiz tunatuna imefika dollar 1 via remitano jaman ni
Naomba nitumie hiyo renece screen shot kama nikweli naona kama unanishawishi
huwa nawachora sana wanaojiita maguru na kuwa na vimbele mbele vya kufundisha beginers, wameshindwa kupata hela sokoni kazi yao imekuwa utapeli tu...washenzi sana haoYou've the Trading knowledge mzuri kabisa ambayo kila mtu anayo Ila huna what takes to take money out of the market na ndio Mana umeona Bora ufundishe.yaani kuchukua hela from sokoni bana zinakuwaga za Moto yaani unaziona Ila kuzichukua Ni mbinde kinyama so utakimbilia kufundisha strategy,rm,ta ,fa na mind utagusia kwa juu juu mno. Ndio Mana kwenye game hii Kuna educators wengi mno kuliko traders wenyewe Ni sawa huwa nikienda stendi ya mabasi nawaambia wale wapiga debe kuwa mbona nyie wenyewe Ni wengi kuliko abiria ,yaani mkiamua kusafiri wenyewe mnajaza mabasi yote haya na mnabakia wengine mmekosa usafiri
Yaani umemeza PDF zA kutosha so una feel you're likely to succeed Ila you can't. You just smell it but is very difficult to reach there what I know. Watauza signals,VIP subscription program.yaani bana trading inafurahisha kinyama.
We read and get education of Trading from high grade suckers of this game.
Ukiulizwa your 5yrs Trading history utaanza kutetea kuwa sio lazima nicheze mpira kufundisha mpira ama sio lazima niwe car racer ili kujua anahitaji gari ya Aina gani.
Haya bana hii makitu Ni ya Moto mzazi nadhani imeshakulia hela so upo unapooza