Forex traders naombeni msaada tafadhari

Forex traders naombeni msaada tafadhari

Mkuu acha hiyo mistake next time lot size 0.01 × 50pips = 5usd??? I think ni 0.5usd

Halafu kitu kingine pia profit/loss =lot size ×pips×$value per pip

Mf unatumia lot size ya 0.01(micro lot) na una pips hizo 50 profit /loss =
0.01×50×0.1($value per pip) = 0.05$

Hivi ndivyo mimi nnavoelewa mkuu kwa mujibu wa source nilizopitia. So ndio mana nataka tusaidiane knowledge zaidi tuweze kuielewa hii industry vizuri mkuu
Umezengua sanaa.
 
Hii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
Data moyo wako unavyosema mbali na hapo utakuja jutia
 
Mkuu acha hiyo mistake next time lot size 0.01 × 50pips = 5usd??? I think ni 0.5usd

Halafu kitu kingine pia profit/loss =lot size ×pips×$value per pip

Mf unatumia lot size ya 0.01(micro lot) na una pips hizo 50 profit /loss =
0.01×50×0.1($value per pip) = 0.05$

Hivi ndivyo mimi nnavoelewa mkuu kwa mujibu wa source nilizopitia. So ndio mana nataka tusaidiane knowledge zaidi tuweze kuielewa hii industry vizuri mkuu
hivi nimeandika USD 5 mkuu em pitia tena, nimeandika 0.5 usd
 
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.

Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
1. Broka mzuri ni Tickmill
2. Swali la pili halina msingi. Kuvuna idadi ya pips inategemea soko na uwezo wako katika kujua entry point na exit point.
Hii ni muhimu sana kulifahamu kwasababu
A) unaweza kuingia sokoni ukiwa umechekewa kuingia na ghafla soko likabadili uelekeo.
B)Kutoka sokoni..hii nayo ni point muhimu....ukichelewa kutoka sokoni pia unaweza kuishia kupata hasara.

Haya niliyoyaanfika ni ya msingi kwa biginners
 
Mastering XAUUSD
Screenshot_20230729-092734.jpg
 
You've the Trading knowledge mzuri kabisa ambayo kila mtu anayo Ila huna what takes to take money out of the market na ndio Mana umeona Bora ufundishe.yaani kuchukua hela from sokoni bana zinakuwaga za Moto yaani unaziona Ila kuzichukua Ni mbinde kinyama so utakimbilia kufundisha strategy,rm,ta ,fa na mind utagusia kwa juu juu mno. Ndio Mana kwenye game hii Kuna educators wengi mno kuliko traders wenyewe Ni sawa huwa nikienda stendi ya mabasi nawaambia wale wapiga debe kuwa mbona nyie wenyewe Ni wengi kuliko abiria ,yaani mkiamua kusafiri wenyewe mnajaza mabasi yote haya na mnabakia wengine mmekosa usafiri

Yaani umemeza PDF zA kutosha so una feel you're likely to succeed Ila you can't. You just smell it but is very difficult to reach there what I know. Watauza signals,VIP subscription program.yaani bana trading inafurahisha kinyama.

We read and get education of Trading from high grade suckers of this game.

Ukiulizwa your 5yrs Trading history utaanza kutetea kuwa sio lazima nicheze mpira kufundisha mpira ama sio lazima niwe car racer ili kujua anahitaji gari ya Aina gani.


Haya bana hii makitu Ni ya Moto mzazi nadhani imeshakulia hela so upo unapooza
huwa nawachora sana wanaojiita maguru na kuwa na vimbele mbele vya kufundisha beginers, wameshindwa kupata hela sokoni kazi yao imekuwa utapeli tu...washenzi sana hao
 
Back
Top Bottom