Wakuu naona hili jukwaa limegeuka ukanda wa gaza.
BTW: Nahitaji kufahamu kama kuchelewa kuaply au kuwahi kuaply TCU kuna weza kuwa na positive au negative impact kwa mwanafunzi katika kupata chuo?
etii wasio jua lolote ko we c unajua ndo wakupigie kwenye no yako uwalie pesa sio mtanzania ww usijifanya unajuuuu dat y tupo kuelimishana afu yaaa umri yanatoka wap tenaaaa
cjui nikutusi kwa bibi ako ndo utaacha fanya yako big tuache wana ud na DARUSO yetu we wa kata nenda katanii
nop uwez mchagulia dat y kuna kitabu cha tcu aangalie kitu cha kusoma ana point 8 ambazo anaweza pata vyuo hata hiii UDSM
Umelewa wewe sio bure!
Matokeo yangu ni phys D Chemistry B Math C Div 3 point 12...je naweza chaguliwa Civil au Mining pale UDSM???
ECD huwezi soma UDSM mdogo wangu tena kwa mwaka huu wafu walivofaulu ni ngumu sana
ECD huwezi soma UDSM mdogo wangu tena kwa mwaka huu wafu walivofaulu ni ngumu sana
Ila jaribu kuomba kwanza usikate tamaa mapema we omba unaweza pata
any deteal kuhusu UDSM
haya ni matokeo ya BRN na divisheni 5!