Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Ukiwa ulimaliza form six miaka kama sita iliyopita,ukapata P-1,S-1 na F-1,unaweza kujiendeleza vipi?
 
Humu kunajamaa anaitwa Perry alijiunga na udsm alisumbua watu sana kipindi amepata admission, nazani kashazoea chuo sasa.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naona hili jukwaa limegeuka ukanda wa gaza.

BTW: Nahitaji kufahamu kama kuchelewa kuaply au kuwahi kuaply TCU kuna weza kuwa na positive au negative impact kwa mwanafunzi katika kupata chuo?
 
Wakuu naona hili jukwaa limegeuka ukanda wa gaza.

BTW: Nahitaji kufahamu kama kuchelewa kuaply au kuwahi kuaply TCU kuna weza kuwa na positive au negative impact kwa mwanafunzi katika kupata chuo?


hakuna effect but usizidishe mda uliopangwa
 
dogo langu ana kwenye PCM ana CBC vipi hapo first choic aweke kozi gan na chuo gani?
 
etii wasio jua lolote ko we c unajua ndo wakupigie kwenye no yako uwalie pesa sio mtanzania ww usijifanya unajuuuu dat y tupo kuelimishana afu yaaa umri yanatoka wap tenaaaa

cjui nikutusi kwa bibi ako ndo utaacha fanya yako big tuache wana ud na DARUSO yetu we wa kata nenda katanii

UDSM hatuna watu kama ww! ww unaonesha hata O-Level hujamaliza.. alaf sio lazima uandike kiingereza ili uonekane msomi maana kila ulipoandika kiingereza umekosea! Jikubali na kubali mahali ulipo.. UDSM sio peponi ni chuo kama vyuo vingne jitihada zako tu ndizo zitakupeleka hapo! Soma
 
dogo langu ana kwenye PCM na CBC vipi hapo first choic aweke kozi gan na chuo gani?


nop uwez mchagulia dat y kuna kitabu cha tcu aangalie kitu cha kusoma ana point 8 ambazo anaweza pata vyuo hata hiii UDSM
 
Umelewa wewe sio bure!

buh buh buh buh buh hvi unasoma udsm kwl....daaaaaah hii ni nyingi( this is too much) makosa mengn yanavumiliks lakini hili siwezi kuliklia kimya......yani kwli unaandk JAUGE au ulimanisha nini????
 
buh buh buh buh buh hvi unasoma udsm
kwl....daaaaaah hii ni nyingi( this is too much)
makosa mengn yanavumiliks lakini hili siwezi
kuliklia kimya......yani kwli unaandk JAUGE au
ulimanisha nini????
 
Matokeo yangu ni phys D Chemistry B Math C Div 3 point 12...je naweza chaguliwa Civil au Mining pale UDSM???

ECD huwezi soma UDSM mdogo wangu tena kwa mwaka huu wafu walivofaulu ni ngumu sana
 
Ila jaribu kuomba kwanza usikate tamaa mapema we omba unaweza pata

Sio rahis, kwanza hizo sio points 8 kama kamaliza mwaka huu, ajaribu sawa lakini akiona mwishoni waloapply ni wengi ajitoe akipe kipaumbele chuo kingine, pia aweke na St Joseph katika vyuo atavyoomba.
 
Back
Top Bottom