Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

Well narrated kasoro kumlinganiaha na Eric Shigongo. Shigongo ni plagiarist tu wa hadithi za watu wengine
 
Ni mjasiriamali tu alie jiajiri kupitia telegram na kufanya promo kupitia X , kama walivyo sema uko juu cases huwa zina elezea kwa uwazi kupitia mashahidi so ata **** aukuepo eneo la tukio uki wasoma walicho sema mashahidi uka narrate vzuri tayari una kua jasusi wa ufipa
 
Hapana Mkuu mimi ni raia mwema ninayekubali kazi zake. Usiwaze vingine
Wenye kazi zao hiyo lugha ni mafundi sana kuitumia. Nadhani ni sehemu ya mafunzo yao.
Hata hivyo, haya tuyaache, si sehemu ya maumivu makali tunayo letewa na hawa wanaojiita wana siasa wa Tanzania; ambao ndio hasa wanao watumia hawa wenye kazi zao kama vifaa/nyenzo.
 
Hata ww ukiamua unaweza unafuatilia kesi mahakamani unasoma papers za kesi mahakamani.....pia uwe na watu wanakutumia information za tukio unalotaka hasa kutoka kwenye mitandao...... kisha uwe na uwezo wa kuandika
Fanya hivyo na wewe tukukute kwenye jalala kwa mganga wa kienyeji kama wenzako walivyokutwa huko Singida.
 
Duh! Eti jasusi wa ufipa?? Kama Erythrocyte au Yericko Nyerere ??
 
Yeye ndio aliwaleta awali kuwa ni watekaji kisha akaja kusema taarifa ile alilolipata ililenga kupotosha ,ni muongo muongo tu

USSR
Hakuna anayekataa kuwa taarifa zake hazina 100 ya ukweli, lakini bado ana ukweli mwingi tu.
 
Hii comment yako ya kijinga sana. Sasa wote tukiwa waandishi itakuwaje? Kama copy & paste inamlipa ni sawa tu. Pia mimi sijawahi hata kuwaza kutafuta followers kwenye maisha yangu. Wewe ni mtu mjinga sana. Hakika Mungu atakuadhibu kwa kushindwa kutumia akili aliyokupa bure.
 
Kunywa maji upunguze munkari
 
I know you are not asking but you are trying to expose him ….
 
Usisahau TISS wanaweza kuwa wanafanya kazi in reversal engineering, kuwa makini.
 
Kwa kuwa yumo humu, naamini atapata muda wa kukujibu. Ila suala la bilionea Msuya inaweza kuwa ni ushahidi unaotolewa mahakamani wakati wa kesi.

Ila jamaa ni mahiri sana wa kusimulia kwa maandishi pamoja na kupangilia matukio kwa namna fulani ya kujenga suspense kwa msomaji wake.

Ova
 
I know you are not asking but you are trying to expose him ….
Nauliza tu. I can't expose him because all the details that I put here, I just copied from his own page in X platform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…