Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

Mbona wewe hujawahi kunakili na kutunga kitabu au kuandika makala? Jifunze ku appreciate kazi na jitihada za wenzako.
 
Mbona wewe hujawahi kunakili na kutunga kitabu au kuandika makala? Jifunze ku appreciate kazi na jitihada za wenzako.
Kwahiyo wote tuwe waandishi? Ku-appreciate jitihada za wizi wa kazi za watu wengine ikoje? Ingekuwa USA huyo Buyobe angeshalipishwa faini kibao. Hata hapa TZ siku akitokea mwandishi mwenye hatimiliki ya kazi yake atamsumbua. Ficha upumbavu wako wakati mwingine.
 
Wewe huwezi kuwa mwandishi, huna uwezo huo. Kichwa cha panzi
 
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba, siku moja utafurahi ukisikia mwamba anasumbuliwa na vyombo vya dola and hata kupotezwa kabisa
 
Mbona Yericko Nyerere anauza kimataifa, hata Amazon yupo lakini hajashitakiwa ?
 
Kama umewahi kusoma makala za kwenye gazeti la RAI na baadae Raia Mwema utaelewa nilichoandika. Kama hukuwahi kusoma kaa kimya.
Kama huo ndiyo utetezi wako ungeanza wewe kukaa kimya. Ungekuwa na akili ungeleta hizo makala.
Mtu na akili zako unawezaje kujenga hoja kipuuzi hivyo. Gazeti la RAI/Raia Mwema limeanzishwa mwaka gani? Tangu kuanzishwa yametoa matoleo mangapi? Waandishi wa Makala ni wangapi, miaka ipi? Ninyi vitoto mnasumbua tu babu zenu humu kwa kuja na nyuzi nyingi na kujibu kila comment na kila mnachoandika ni malapulapu na mataputapu tu
 
Wewe ni mtu usiye na akili kabisa. Ni kuitia najisi JF kuwa na member kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…