stunnacarter2015
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 463
- 1,288
hivi mbona sijawahi ona mahali pameandikwa jukwa la wakubwa? how do people go about itKooooteeee nitazurura lakini sio jukwaa la wakubwa kama wenyewe wanavyoliita!!!
nataka nijue kwanza liko sehemu ganiHahahahaaa mkuu mbona Hilo jukwaa lipo. VP unataman ufike kile?
Nimestaafu MkuuUtaendaje kule wakat bdo hujawa mkubwa?
kunasiku hukanyahi huki ?Silipendi kinoma
Lipo ila unaingia kupitia mods!!!! Mpaka uwa pm mods wakuunge huko!!!hivi mbona sijawahi ona mahali pameandikwa jukwa la wakubwa? how do people go about it
nataka kujua
haaaa hilo lina masharti eeehLipo ila unaingia kupitia mods!!!! Mpaka uwa pm mods wakuunge huko!!!
Jukwaa la wakubwa ndio Makapuku Forum mkuu.......hivi mbona sijawahi ona mahali pameandikwa jukwa la wakubwa? how do people go about it
nataka kujua
Hahaha mpaka uombe accesshivi mbona sijawahi ona mahali pameandikwa jukwa la wakubwa? how do people go about it
nataka kujua
Yaan mie kuna majukwaa sijawah kanyaga kabisa ,,mi Mmu kwa GuDume ,celebrities forum,siasan hua inatokea tu