kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au mpnzu na shomari kapombe kuliwa mtama ndani ya boksi wachambuzi wa mchongo wanao pokea bahasha kutoka GSM kupitia Aliy komwe wakibweka wala hutoona goli la mkono wala offiside mzize kumyang'anya kipa mikononi na refa akanyoosha kati,mechi kama hizi za kukamiwa simba hujihisi yupo mashindano ya kimataifa na yupo ugenini maana hapati kamserereko kama ule wa timu bahasha fc aka GSM fc au singida b maana inapewa wachezaji na makocha kwanini isiitwe singida B ni haki kabisa hilo jina linawafaa na ipo siku singida anaweza kujitolea point kuwaisidia watwae ubingwa wakatutie aibu huko kimataifa.....hivyo jioni ya leo walio babati waende uwanjani wakashuhudie soka na walio majumbani na vibanda umiza tv zinawahusu mkashuhudie maestro fundi wa mpira mwenye kuulainisha na kurahisisha kazi Emily mpanzu.....wachezaji bora hutoka simba wakamalizia soka nyuma mwiko.....Chama,mkude,nurdin bakari,Athumani chuji,Hamis gaga,zamoyoni mogela,emanuel okwi,juma kaseja na wengineo....Simba ni timu ya karne!