Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

Nilidhani ulichosema ni sahihi ila nimekuja kukuta siyo kweli. Azam wamesema hawatanunua timu yoyote ya wanawake ila wataingia nayo makubaliano.
awali walitangaza wamenunua baobao, jana nikashangaa wanasema hawatanunua timu ya wanawake ndio nimeshangaa pia.....

taarifa ya kununua baobao ilitolewa mkuu kama ulikua mfuatiliaji....ngoja niitafute
 
awali walitangaza wamenunua baobao, jana nikashangaa wanasema hawatanunua timu ya wanawake ndio nimeshangaa pia.....

taarifa ya kununua baobao ilitolewa mkuu kama ulikua mfuatiliaji....ngoja niitafute
Sawa nimekuelewa. Azam hawana jinsi lazima waje kuwa na timu ya wanawake maana ndiyo sheria mpya za CAF. Hii ya kuingia makubaliano ni suluhisho la muda mfupi tu. Labda wameona sokoni wadau wanataka pesa ndefu kuachia timu wakaona isiwe tabu ngoja waende taratibu.
 
Hii nchi inabidi kuwa makini uza uza imezidi sana.......

Unaweza ukaamka asubuhi ukajikuta una mb*o plain bila p*mbu huku elfu hamsini wameisukumiza ndani ya chup na sms kwenye cm ikisema IYO ELFU HAMSIN ENDELEA KUITUMIA TUSHANUNUA HIZ MBUPU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaah
 
Ila Azam nao, mbna walikua na uwezo wa kuwa na team ya wanawake tangu zaman
 
Hii timu ina ubabaishaji sana hawajawekeza ktkt mpira ila wanatumia ujanja tu muda wote ukiona taasisi yoyote kila mara inabadilisha jina lake ujue kuna ubabaishaji hapo hawa si ndio walikuwa Diamond Trust Bank mara wakawa Singida mara sasa hivi F GATE so sad mpirawetu ni majanga yaan ujanja kila kona 😇😇😇
 
Unatoa wallet mfuko wa kshoto unaweka kulia bongo sihami😃😀
 
Hii nchi inabidi kuwa makini uza uza imezidi sana.......

Unaweza ukaamka asubuhi ukajikuta una mb*o plain bila p*mbu huku elfu hamsini wameisukumiza ndani ya chup na sms kwenye cm ikisema IYO ELFU HAMSIN ENDELEA KUITUMIA TUSHANUNUA HIZ MBUPU
We jamaa unajichelewesha tu ulitakiwa uwe komedi kwa haya yan unasoma komenti huku nacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…