Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

Hii timu inahistoria ya kuvunjwa na kuuzwa tangu huko ilipoanzia.

Ilikuwa ni timu ya Tumbaku, ilipovunjwa - Wachezaji wote wa Timu ya Tumbaku iiyoshiriki ligi ya Kanda ngazi ya Mkoa wakaunda timu ya Soko la Mawenzi Market (Morogoro). Mawenzi Market walikuja kukwama kuindesha timu ilipokuwa Daraja la kwanza - Wakaiuza Singida ikaitwa DTB.

DTB wakaja kuibadili jina ikaitwa Singida Big Stars. Na sasa imechenji gia angani na kuitwa Singida Fountain Gate - (Lengo ni kukidhi mahitaji ya Leseni za CAF) timu lazima iwe na timu ya wanawake na timu ya vijana.
 
walishanunua baobao siku nyingi
Nilidhani ulichosema ni sahihi ila nimekuja kukuta siyo kweli. Azam wamesema hawatanunua timu yoyote ya wanawake ila wataingia nayo makubaliano.
 
Back
Top Bottom