Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

Hii nchi inabidi kuwa makini uza uza imezidi sana.......

Unaweza ukaamka asubuhi ukajikuta una mb*o plain bila p*mbu huku elfu hamsini wameisukumiza ndani ya chup na sms kwenye cm ikisema IYO ELFU HAMSIN ENDELEA KUITUMIA TUSHANUNUA HIZ MBUPU
😂😅😂
 
Fountain Gate imeinunua klabu ya Singida Big Stars iliyomaliza nafasi ya nne kwenye ligi kuu ya NBC msimu uliomalizika na sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC ambapo itashiriki michuano ya kombe la shirikisho Afrika msimu ujao.
View attachment 2657044
Logo yao inanikumbusha penati za mchezaji bora wa NBC.
 
Kituo cha kukuza Vipaji cha Fountain Gate Academy kimefanikiwa kuinunua Singida Big Stars, Na hivyo wataanza kutumia jina la Singida Fountain Gate.
Sasa hiyo Singida Big Star ni nani aliyekuwa anaimiliki na hivyo kupokea pesa kutoka kwa Fountain Gate Academy?
 
Hii nchi inabidi kuwa makini uza uza imezidi sana.......

Unaweza ukaamka asubuhi ukajikuta una mb*o plain bila p*mbu huku elfu hamsini wameisukumiza ndani ya chup na sms kwenye cm ikisema IYO ELFU HAMSIN ENDELEA KUITUMIA TUSHANUNUA HIZ MBUPU
Wewe Kaka 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwigulu kajionea hasara tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Fountain Gate imeinunua klabu ya Singida Big Stars iliyomaliza nafasi ya nne kwenye ligi kuu ya NBC msimu uliomalizika na sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC ambapo itashiriki michuano ya kombe la shirikisho Afrika msimu ujao.
View attachment 2657044
Nawashauri sasa waonane na DP World, huwa wana sponsor sana michezo.

DP World Oyeee.
 
Utaratibu wa CAF timu yoyote inayoshiriki mashindano Yao lazima imiliki timu ya wanawake ya Soka. Sio kweli singida imeuzwa Bali ni kamchezo ka kuhalalisha ushiriki wao wa mashindano ya CAF
CAF walizipa timu zisizo na timu za wanawake option ya kuingia makubaliano na timu nyingine ya wanawake ili kukidhi vigezo vyao. Nadhani hilo ndiyo limefanyika hapa.

Hata AZAM siku yoyote tutasikia wamenunua timu ya wanawake maana mchakato wa kuanzisha timu from scratch ni mrefu zaidi.
 
Back
Top Bottom