hivi maendeleo ya kiuchumi hayaendani na shibe za watu.?
au Mimi ndo sijui.
cha kwanza ugali sheikh.
chai ni break fast tu.
ishu lunch.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]ha ha siyo hivyo kwa Kenya, wenyewe kwenye makaratasi ndiyo kuna shibe, lkn kwenye kaya.
Haha sawa bosshivi maendeleo ya kiuchumi hayaendani na shibe za watu.?
au Mimi ndo sijui.
cha kwanza ugali sheikh.
chai ni break fast tu.
ishu lunch.
Hive wanaoongoza kwa kuleta nyuzi za chuki hapa si ninyi wakenya? Mkipata kilicho kibaya cha Tz mnapost tu.........Yeye anajua 'facing starvation' kwa kiswahili ndo inamaanisha wanakufa. Hajui kiangazi ndo kimeleta haya yote, kama mvua ingenyesha ungeibuka na zile nyuzi zake za sijui alshabaab wataua wakenya wote. Kuna watz wana roho mbaya sana.
forever hunger stricken middle income Kenya!Yeye anajua 'facing starvation' kwa kiswahili ndo inamaanisha wanakufa. Hajui kiangazi ndo kimeleta haya yote, kama mvua ingenyesha ungeibuka na zile nyuzi zake za sijui alshabaab wataua wakenya wote. Kuna watz wana roho mbaya sana.
Hive wanaoongoza kwa kuleta nyuzi za chuki hapa si ninyi wakenya? Mkipata kilicho kibaya cha Tz mnapost tu.........
Ujue na sisi tunavyokuwa hatupendi huo ujinga........
feel it.
Hizi ni frasitreshen! 😀😀😀forever hunger stricken middle income Kenya!
Prove me wrong! When was last time Kenya had Pumper harvest!Hizi ni frasitreshen! 😀😀😀
I think you mean BUMPER harvest. When was the last time Kenya had a long-lasting rainfall period? Answer that, and you will have answered your own question.Prove me wrong! When was last time Kenya had Pumper harvest!
Middle income with bigger GDP means you have money, why depending on rains like LDC?I think you mean BUMPER harvest. When was the last time Kenya had a long-lasting rainfall period? Answer that, and you will have answered your own question.
Why tea and flowers not affected?I think you mean BUMPER harvest. When was the last time Kenya had a long-lasting rainfall period? Answer that, and you will have answered your own question.
We have the money to do irrigation. But that is up to our government to decide to take irrigation seriously, but ordinarily Kenyans like us don't make government policy.Middle income with bigger GDP means you have money, why depending on rains like LDC?
You have the money. Kenyans die of hunger. No jobs. No employment. Government continue to borrow because Rotich says no Money. You say you have money. You and Rottich who knows better?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We have the money to do irrigation. But that is up to our government to decide to take irrigation seriously, but ordinarily Kenyans like us don't make government policy.
Middle income with bigger GDP means you have money, why depending on rains like LDC?
Lugha ya kushushia povu ni kiswahili, punguza ung'eng'e. Vipi mkuu, upo freshi lakini? Siku nyingi jombaa, yaani jirani siku kadhaa sijaonekana hapa jf, lakini hata kuripoti tu kwa kwenye kituo cha polisi hukuweza? Dah, inauma sana! 😀Why tea and flowers not affected?
Government has no money, even to pay for its debts, how can it be able to buy food?Kenyan government should be buying enough food for reserve, and sell it or distribute during dry season.
When I say we have money, I mean even the borrowed money is still ours and we can use it to do irrigation if we wanted to, instead of doing SGR or other projects. Maybe gov't of Kenya Imeona irrigation sio priority kwa sasaYou have the money. Kenyans die of hunger. No jobs. No employment. Government continue to borrow because Rotich says no Money. You say you have money. You and Rottich who knows better?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wewe kama huna hela na unategemea kwenda kukopa unajihesabu una pesa?, nani anayehesabika hana pesa?, unataka kuchekesha watu waliolala wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38]When I say we have money, I mean even the borrowed money is still ours and we can use it to do irrigation if we wanted to, instead of doing SGR or other projects. Maybe gov't of Kenya Imeona irrigation sio priority kwa sasa