eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
hivi maendeleo ya kiuchumi hayaendani na shibe za watu.?
au Mimi ndo sijui.
cha kwanza ugali sheikh.
chai ni break fast tu.
ishu lunch.
ha ha siyo hivyo kwa Kenya, wenyewe kwenye makaratasi ndiyo kuna shibe, lkn kwenye kaya mmmh....