Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Huyu ndiye aliywatuma Polisi wakauwe vijana wetu?View attachment 3641262
Father Kitima kanyooka kama rula. Tupo pamoja na Wakatoriki
hakuna uhalifu wowote ile ni homa ya maandamano nyie wauaji lazima mlipe.ALafu ni wapumbavu tu wanaoongelea thamani ya vitu wakati watu wanaongelea thamani ya uhai.kama wewe ni mmojawapo acha uhuo upumbavu.Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
unawezaje kuthubutu kupima uhalifu na adhabu ya kifo, hiyo ni sheria ya wapi? Wacha kujitoa ubongo. Katafute nchi yako inayoua wananchi wake kwa sababu ya uhalifu wa kuharibu mali na miundo mbinu. Sio TZ, hii sio nchi ya kigaidi. Ufike wakati sasa wakiri makosa ili tu move on, wacheni utoto na kiburi.Kitima Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
Kutokuongelea uhalifu wa wale vibaka unahalalisha vipi watu kuuwawa wakiwa majumbani? Hoja ni wapo watu waliofuatwa majumbani wakauwawa? Kama jibu ni ndio then kwanini hakuna uwajibikaji?Kitima Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
Uhalifu(uharibifu wa mali na wizi) havilingani wala havielekeani na uuaji wa mamia/maelfu ya raia within a span of three days. It's called tackling the most sensitive matter before anything else.Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
huyu mlevi nae sijui katokea wapi.View attachment 3641262
Father Kitima kanyooka kama rula. Tupo pamoja na Wakatoriki
Kitima Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
Shikamoo mkuu🫡Si wapo wengine wanaongelea kina mwaipopo na kundi la mbwamwitu? Mgawanyo tu wa majukumu mkuu...
Wewe hutoshi kuongelea hilo mpaka iwe lazima Kitima?Kitima Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
Muda unao wewe.Ongelea kuhusu hayo.Kitima Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
Ok, sawaFr Kitima ana mke au jimbo lipo wazi?