che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 682
- 1,120
Ukweli mtupu,umeeleweka padri
Hayo mlishayaongelea nyinyi humu,yeye kaongelea msiyoyaongeleaKitima Kwanini haongelei pia uhalifu uliofanyika kwa kisingizio cha maandamano?
Hebu soma hapo juu umeandika nini!? Unajaribu kujustify ujinga, huoni kuwa mpumbavu ni yule ambaye ameingia madarakani bila ridhaa ya wananchi?I repeat, wacheni utoto na kiburi.Nyie wapumbavu leo mnatetea wahalifu wakati mkiwakamata sokoni wameiba nazi mnawaua kwa kudai mna hasira kali? Wanafiki wakubwa nyie.