Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Panic mode!Jibu kwa kutumia akili.Ulimuona wapi na lini aliyekujibu anaua mtu aliyeiba mayai au fungu la spinachi sokoni?Unabuni na kufananisha ujingaujinga wako na mambo makini!Acha uzezeta wako huo.Nyie wapumbavu leo mnatetea wahalifu wakati mkiwakamata sokoni wameiba nazi mnawaua kwa kudai mna hasira kali? Wanafiki wakubwa nyie.
Nipo mbonaUpogo? Nmekumiss ujue...
WasalimieNi kiongozi wangu wa kiroho. Swali lingine, maana naelekea mahali kupata breakfast na lunch kwa pamoja.
Mamalishe au wahudumu?Wasalimie
Nipo mbona
Nimekuona sehemu kwenye uzi wangu umepita shwaaa😅
Hapo kwenye kumiss ni chai na haina sukari
😂😂😂😂🙌🏻Fr Kitima ana mke au jimbo lipo wazi?
Unanijaza sana rafiki 😆Nyuzi zako bana mtu anatakiwa kushiba yani, yani hutakiwi kuwa bongo ujue, akili yako inatakiwa kuwa wanapojua kuzitumia akili za watu nishakwambia kitambo yani nasoma naona maluweluwe tu nabaki na machungu yangu bora nikumisigi tu kiroho bila kutamka! Leo umenigusa nimetoa ya kumoyo hamna chai wala coffee! Fact tupu 😛 😛
Singida kuna wakristo?😂😂😂😂🙌🏻
You are so naughty.
Jiweke hapo mdogo wangu utafurahi, sisi watu wa singida hatunaga kona kona.
NB. yule mwigulu sio wa kwetu 🤣
Tukishawaua huwa tunafanywaje? Polisi huwa wanakuja kijiweni kubeba kila aliyehusika!Nyie wapumbavu leo mnatetea wahalifu wakati mkiwakamata sokoni wameiba nazi mnawaua kwa kudai mna hasira kali? Wanafiki wakubwa nyie.
Yes kuna takwimu kama ya 50/50 ya wakristo na waislamu.Singida kuna wakristo?
Nimekariri warangi, Wanyiramba, Wanyaturu ni waislamu.
Halafu Fr. Kitima mimi nitatunza siri sitosema kama mimi ndo tulizo la moyo wake.
Unanijaza sana rafiki 😆
But miss you too 😍
Wewe ni muislamu au mkristoYes kuna takwimu kama ya 50/50 ya wakristo na waislamu.
Kwenye kutunza siri malizia na ile kauli mbiu eeenhe mwenyezi Mungu nisaidie! kama tunavyoapa jeshini.
Mkristo, Mlokole…Wewe ni muislamu au mkristo
Wewe changia tu vyovyote unavyoelewa hili jukwa la melo hakuna shida kabisa be openDidn't I say ya threads are so philosophical? Yani nikisoma kichwa kinapaa hd nashindwa kuorganize mawazo then nakata tamaa tu nafikiri ntarudi muda mwingine! Then napotelea kwnye nyuzi nyepesi za chawa wa mama kule maisha yanaendelea
Upiemugi tufanye wanga labda!
Anasema yeye kama nani? au kutoka chama gani?
Na wenye vyema vyao wamesema nini?
Shuhuli sio yako kwanini utoke jasho
Usinambie wewe ni mmoja wa watoto wa PTMkristo, Mlokole…
Mlokole ila sina baba wa kiroho 😂Usinambie wewe ni mmoja wa watoto wa PT