TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

Maombi yapi?? Maana kama ni maombi tunaomba miaka yote.
 
Huyu mhaya ni mjuaji balaa.
Ujuaji huu ndio ulimgharim akafukuzwa upadre.alikuwa anamiliki kimwana (nurse) wakt huohuo anatumikia upadri tena waziwazi.kuonywa akaleta uanaharakati ndani ya ukatoliki
 
Huyu mhaya ni mjuaji balaa.
Ujuaji huu ndio ulimgharim akafukuzwa upadre.alikuwa anamiliki kimwana (nurse) wakt huohuo anatumikia upadri tena waziwazi.kuonywa akaleta uanaharakati ndani ya ukatoliki
Pole, tunasherehekea maisha ya Padri Privatus Kalugendo. Mtanzania aliyekuwa na tafakuri na kutushawishi sote tuwe watu wa kutafakari na kuhoji masuala mbalimbali. Alikuwa zawadi kwa Watanzania na Ulimwengu. Tangulia Privatus tutaonana baadaye.
 
Hii account haiko under Nyani control kitambo,Nyani original aliishiaga kwenye mifuko ya salfet,long time ago...
Mkuu Ulipoteaga wapi yani vita ya karibuni ya taifa teule na Hamas mchango wako hata mmoja haukonekana kabisa International forum na siyo kawaida yako. Tukazan 3rd wave imekupitia
 
Sisi wasomaji wa Gazeti la Rai Nguvu ya HOJA la Asili kabisa tutamkumbuka sana kwa makala zake!
Bwana ametwaa zao lake lililobora. Jina lake Lihimidiwe.
La ...Asili kabisa ...RAI.Duh!!!.RIP Privatus
 
Namba 3 hiyo..Rwanda wamecancel harusi zote. Makala ataja watu wavae barakoa. Serikali yajiwinda na maonesho ya 77. Tutafika tu tunapotaka kufika. R.I.P Karugendo japo makala zako zilikuwa ndefu.
.....ndefu zisizo chosha...
 
Kwa huyu fr.lazima ni...😭😭😭😭😭😭😭
 
Ficha upumbavu wako. Hakuna mahali amesema yuko hapa kwa uwezo wake. Na watu hawapingi maombi. watu wanapinga maombi ya kiwendawazimu. Watu wanapinga maombi ya kumjaribu Mungu. Watu wanahoji maombi huku ukipuuza korona. Huwezi kufanya maombi halafu ukapanda juu ya mti mrefu kabisa ukajitupa chini ukitegemea yale maombi uliyoomba.
 
Nilikuwa nawaza kuwa kumbe hata wao nao huwa wanakufa na kuoza na kuwa mlo wa funza!

He is dead [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Go bury him now.

Funza wanaenda kufaidi huko udongoni.
Siyo bure .. Nyani...ipo siku utatuambia kwa kina hasira dhidi ya aina ya mtu kama marehemu.Acha tuomboleze kwanza.
 
Mkuu Ulipoteaga wapi yani vita ya karibuni ya taifa teule na Hamas mchango wako hata mmoja haukonekana kabisa International forum na siyo kawaida yako. Tukazan 3rd wave imekupitia
Nenda twitter,siku hizi nabonga na kina Netanyahu,Naftal ,Gantz,Biden..
Niko fasi ya juu saa hii..😁😁
 
Upumbavu n pale hapo ulipo umekaa unaharisha hata barakoa hujavaa wala mikono hunawi halafu unajidai kuwa unaijua korona, upumbavu nipale unapo enda kariakoo tena unebananishwa wenye mwendo Kasi halafu unajidai unaijua korona, upumbavu ni pale unapo hitaji lockdown wakati hapo mfukoni umekunjia ma toilet paper tu, sijui hiyo lock down unayo iita utakula kinyesi Chako?tahadhari gani uliyo nayo ww kuliko Ulaya na bado korona inawamaliza?nilisha sema peleka Bangi za Ngarenaro huko.
 
Hii account haiko under Nyani control kitambo,Nyani original aliishiaga kwenye mifuko ya salfet,long time ago...
Ina maana kwenye zile maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye ile mifuko ya Sulphate na ya Nyani ilikwepo?? Mbona alikuwa timu JPM kitambo, sidhani angeweza kufanywa vile.

Nyani Ngabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…