TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

Nyumbu mbona unatoa povu? Mwenzio keshaanza kutoa funza 😂😂

Naye corona imemchukua 🤣🤣🤣
Kumbe unajua Corona ipo? Mkae mkijua haitamuacha mtu ilianza na Mungu wenu. Ukimfukua sasa hivi na Ile kichwa yake unaweza kuhisi umekutana na korosho inayoota😃😃
 
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.

#RIPFrKarugendo

Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.

14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.

18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.

19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.

19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Vichwa vya kihaya vilivyipa shida serekali vinapungua! R.I.P Prof. Baregu, R.I.P Fr. Karugendo[emoji24][emoji24][emoji7]
 
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.

#RIPFrKarugendo

Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.

14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.

18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.

19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.

19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Mtu wa Mungu pumzika kwa amani.
 
Ni miongoni mwa viongozi wa chache wa dini waliochagua kuendelea kusema kweli na kuikosoa mamlaka wakati Tanzania inapitia kipindi kigumu cha uminywaji wa haki za kiraia, uhuru wa habari na demokrasia.

Pumzika kwa amani Father Karugendo 😭😭
Matendo mema aliyoushi yatamtetea. Mungu ailaze mahali pema peponi
 
Sawa Ila alianza shujaa wenu anajifanya hataki barakoa kabetri kakafreeze sijui kalimtandika shoti. Corona ipo ndio uvae barakoa jomba utakufa kama Mungu wenu.
Shujaa yule Alikuwa na laana. Maovu yake yataendelea kuitafuna uzao wake milele na milele.
 
Mrundi mwenye roho ya kihutu Yani roho yake ingekuwa inaonekana ingekuwa nyeusi sana. Roho mbaya sana haijawahi kutokea. Alikuja kuwazidi madikteta wote waliowahi kutokea East and Centra Africa. Ilibaki kidogo amalize kujenga Gbadolite city yake kama Mobutu. Akasepeshwa fasta.
 
Back
Top Bottom