TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

Likizo ni haki ya mfanyakazi yoyote yule
Sawa boss! Sasa niletee mtumishi wa serikali anayeenda kwao likizo ya zaidi ya wiki 4 mara 3-4 kwa mwaka.

Everyday is Saturday................................😎
 
Muendelezo wa magari ya Toyota, Carina, Corolla, etc
 
Idodomya imechafukaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
enzi za jk. jina lake lilitajwa sana na wanamziki wa dansi, sikujua kuwa ni dereva, nilijua ni mfanyabiashara fulani mkubwa. Rip kwake.

nakumbuka pia hata fikiri madinda alikuwa ni dereva tu wa maliasili ila umaarufu wake haukuwa wa mchezomchezo.
 
R.I.P Dereva wa RAS

TUENDELEE KUZINGATIA TARATIBU ZA KUJIKINGA NA CORONA JAMANI
 
Nina ndugu yangu yupo hapo dom kwa unyama alionifanyia naomba korona impitie.

Pumzika kwa amani ndugu dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…