Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Instagram or something tunaweza kumuona au kufollow kazi zake?
 
Eti jamani 🤔
 
Vaa viatu vyao alafu tuambie ungefanyaje? Usitukane mamba kabla hujavuka mto.

Haya mambo ni kuomba tu yasikukute maana ni changamoto kubwa.

JINSI ULIVYO LEO NI KUTOKANA NA JANA YAKO!!!

UKILEA MTOTO KAMA MBWA NA ATAKUWA MBWA
UKILEA MTOTO KAMA MSHINDI, SHUJAA NA ATAKUWA MSHINDI, SHUJAA
UKILE MTOTO KAMA MRENDA NA ATAKUWA MRENDA TU.
MTOTO WA NYOKA NI NYOKA
KWAMBA UNACHOPANDA NDIO UNACHO VUNA!

HIZI MAMBO ZENU ZA MAISHA YA KISASA, KWENDA NA WAKATI MSIACHE KUKABILIANA NA MATOKEO YAKE!
NA WALA MUSIMUHISISHE MUNGU TAFADHARI!(KWANI HANA MSAADA KWENU)

USHOGA SIO UGONJWA WA KURITH KAMA

SICKLE CELL
UALBINO
MAGONJWA YA AKILI
KANSA
KISUKARI
PUMU
KIFAFA
UPOFU
ANGALIA MALEZI YA WATOTO WAKO!
MTOTO UMEMPA JINA LA KIUME, ANAVAA MAGAUNI!!! HALAFU UNATAKA TUWACHEKEE
KUNA SISI WENYE MADUNGU, NA TUTAWADUNGUATU!

EBU NIPENI NAMBA YAKE #FOOL
 
We unataka kumla wewe!!
 
Mwamba huyu niliwahi kusafiri nae SITI zinazokaribiana
 
Yule waziri aliyepiga mkwala kuhusu magroup ta whatsap nk angaalie na hii
Hajuwi kama kuna mapunga wanajinadi hadharani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…