Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Kweli ana kipaji, maana kukalia mkuyenye ni kipaji cha hali ya juu sana! Wanaume hatuna kipaji hicho isipokuwa wenzetu wenzao!!
 
Mkuu unaweza kutuandikia na kiswahili ?
Nimevutiwa na comment yako ila mengi sijayaelewa kabisa
 
Na mavazi ya kike?

Huwa nawalaumu sana mashoga huyu nimeshindwa, hakika nimeamini wapo wa kuzaliwa
Huyo si shoga huyo ni Transwoman,
Wewe wamuona wa kiume sababu ya umbile lake, yeye ajiona wa kike kwenye umbile la kiume,
Kinachomfanya awe wa kike ni nafsi yake, kwa hivyo acha tumuite dada kama mwenyewe ajionavyo.
 
Nakubali, huyo ni mwanamke
 
Hata huna unalolijua wew, ni heri ukae kimya tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…