Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Yote haya CHANZO ni CORONA. Nani alimshauri mkt wa ufipa ACHANJE? Hatakalia kiti hicho. Miaka miwili tangu importation ya chanjo ya kwanza tunatikiswa tena! By the way furaha ni kuwa tutapata KATIBA mpya 2026 Na mzee Wetu WARIOBA ndo ataizindua.
Ufipa!!?hiyo code decoded!!how sure you are Mzee atazindua!!?asante KWA ku decode code za Tumia akili!!nadhani Brain respiratory shut down kwa HESABU kali Sana corona just imaginary objective KWA laymen! Asante! knowledge extracted from de'levis!!
 
Na huyo FDR wetu yupo bungeni, Si mwanasiasa ila ni verrry vissssionarrrry. Anabadili upepo wa siasa atakavyo. Mbingu zimeamua awe. TUMIA AKILI anatumiwa na mwenye AKILI asiyechunguzika. Dunia yote huweka Watawala awatakao.
Kinyonga wa KIJANI na MANJANO ni chama Wala Si mtu.
 
KWA hiyo elimination method via corona!!?again mourning as we did last year!!!?lakini ikiwa beyond 17/3/23 itakuwa ngumu mkuu!!
CORONA so kitu mwanadamu anafix, Katika ulimwengu wa roho CORONA ni mnyama. Mungu anaipenda TANZANIA hataki watu wake wapigwe Chapa ya mnyama kupitia CHANJO. Ili hayo yasitokee Watawala waachane na habari ya chanjo. Nadhan umeona bungeni upanga umeanza tena kama adhabu Kutoka Kwa MUNGU.
 
Ina Maana upanga huo ni Baada ya walengwa kuchanja!!?je wamechanja wengi Sana!!?na wote upanga utawakata wote waliochanja!!!?
 
SSawa ngoja tusubiri!!! FDR atachukua KWA nembo ileile sio!!?Lakini lazima lady gaga akae pembeni Sasa atakalishwaje!!? Na makam wake watamkwepaje asiule KWA ubovu wa katiba uliopo!!?au wataondoka simultaneously halafu WAANZE upya usukaji kikosi sio!!!?
Ktk maono kifo Cha KINYONGA kama chama kilikuwa ghafula hivyo mtikisiko kdg ungetokea bt KATIBA ndo itasawazisha hayo maana vyama pinzani havina Dira thabiti kama chama tawala!
 
Ina Maana upanga huo ni Baada ya walengwa kuchanja!!?je wamechanja wengi Sana!!?na wote upanga utawakata wote waliochanja!!!?
Nasikitika kusema Ivo, wengi wamechanja hata mwenyekiti wa cdm kachanja, bt kiongozi mkuu hajachanja, abadili tu Jin's anavodeal na corona. ndomana nasema chama tawala kikianguka ghafula Nchi itayumba sababu upinzani ni dhaifu kimaono. Katiba itasaidia ilo.
 
Mkuu Zama zinateketea KWA Kasi Sana!!kama Mwenyekiti ufipa kachanja atamfuata mzee wa sawa sawa mbona itaumiza Sana na mwisho kabisa wa nembo ile inayodai katiba KILA SIKU!!?nilitarajia huyo jamaa aule kwenye mseto wa utawala ujao Baada ya KATIBA MPYA kupatikana!! NIMEUMIA!
 
Kuchanja kumemuondolea sifa ya kukaa ktk kiti kikubwa. Bt haondoki kama unavodhani atakuwa mdogo kimamlaka, ataongozwa.
 
Duh aisee Tumia akili hebu muacheni mama aiseee, Mwendazake amefanye nichukie viongozi wanaume ipo siku watatuuwa. Bora mama maisha yanaenda bila kiki za kipuuzi na kudhalilishana.
Mmh mbona sasa kiki zinazidi kuwa kubwa?
Na kuhusu kudhalilishana mbona bado, si uliona alichosema kwa prof.mkenda na kwa alivyomsimanga ndugai
 
SSawa ngoja tusubiri!!! FDR atachukua KWA nembo ileile sio!!?Lakini lazima lady gaga akae pembeni Sasa atakalishwaje!!? Na makam wake watamkwepaje asiule KWA ubovu wa katiba uliopo!!?au wataondoka simultaneously halafu WAANZE upya usukaji kikosi sio!!!?
Busara itafuatwa, hawatakosea kama ilivotokea b4
 
Mkiri YESU kuwa ni Mungu na mwokozi wa maisha Yako. Acha UOVU na DHAMBI ,Anza kuamuru SHETANI azitapike baraka na utajiri wako ALIOMEZA, hutabaki hapo ulipo, utaona unaongezeka na kupanda juu sana ktk kila kitu.
Kumbe shetani amemeza Baraka na utajiri wangu!!!!?Aiseh niache dhambi!!?nitaweza kweli!!!?Maana taasisi za kiroho si ziamini huwafanya watu Kuwa watumwa wa jumapili au mosi kwa mapato kulishanichosha Sana huko!! MAUMIVU ni Mengi huko kuliko baraka Labda niwe kivyangu tu!!!Kanisani hapana msikitini hapana ibada za kwenye haya majengo zinachosha Sana Akili na Moyo WANGU!!kukiri ni shakiri lakini Maisha Sasa Ndio KAZI!!!
 
Back
Top Bottom