Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Busara itafuatwa, hawatakosea kama ilivotokea b4
Haya mkuu majina mawili yamepandishwa hukooo na mdau mmoja ana miaka 43 na mwingine 37 mwakani 44 KWA 38 je yupi Kati ya huyo!!kuna mmoja tayari ana vigezo VYA kikatiba ambapo ni zaidi ya miaka ya 40 na mwingine BADO au mtasubiri Hadi uchaguzi mkuu wa 2026 awe na miaka 41 ndio apewe uskani wa kugombea!!!?we waonaje!!?nasikia mmoja aliandaliwa na mwendazake aje achukue mikoba yeye akistaafu!!
 
Ndugu Tunakoelekea TANZANIA inasukwa upya Ili atawale Mwenye mamlaka. KATIBA ndo muhimu Kwa sasa kuliko hata mtu atakaekalia kiti hicho. KITI hicho ni Cha moto, hakikaliki. Ktk hao wa2 hayupo wa kukaa hapo!
 
Kwamba the State wenyewe ndio watawale sio!!!?kwa HIYO FDR ATAKUWA kama nembo tu Hapo kwenye kiti atawalae atakuwepo akimpa MAELEKEZO sio!!?Nasubiri Huyo atakae teuliwa kushika hatamu kwa hamu Sana!!!
 
Ndugu hao the STATE wanapanga Yao bt yupo MUNGU aliye juu ya hao wote. Ktk TANZANIA yetu baada ya huyu, Illuminati hawataweka mtu wao!!!
 
Aiseh!! we jamaa!unataka kusema nini!!?pastor Festo chinolo ALIKUJA na uzushi fulani juu ya tarehe 3/3/2022 tukasubiri hola!!mbona unataka kwenda Kule Kule !!kwamba nafasi HIYO Mungu kajitwalia anataka akae YEYE Hapo Sio!!!?wewe ndugu yangu Wewe!!unataka kuniambia state haiendi tena kutawala!!!Lakini unabii wa manabii wa Sasa Huwa siamini Sana Mkuu!!!ni kama kuna siasa ndani yake na utafutaji PESA!!umenishangaza!!Sasa nakuona kama mkristo!unataka kusema Mungu atatawla NCHI kupitia muislamu hapo mbele!!!yaani kristo kupitia Islam sio!!?aiseh!!MKUU UNATAKA KUWA UPANDE WA KINA GWAJIMA NAONA SASA!!
 
Aiseh!! we jamaa!unataka kusema nini!!?pastor Festo chinolo ALIKUJA na uzushi fulani juu ya tarehe 3/3/2022 tukasubiri hola!!mbona unataka kwenda Kule Kule !!kwamba nafasi HIYO Mungu kajitwalia anataka akae YEYE Hapo Sio!!!?wewe ndugu yangu Wewe!!unataka kuniambia state haiendi tena kutawala!!!Lakini unabii wa manabii wa Sasa Huwa siamini Sana Mkuu!!!ni kama kuna siasa ndani yake na utafutaji PESA!!umenishangaza!!Sasa nakuona kama mkristo!unataka kusema Mungu atatawla NCHI kupitia muislamu hapo mbele!!!yaani kristo kupitia Islam sio!!?aiseh!!
Ndugu Unabii huo ulitimia,ingawa Si kama mlivotegemea, ni tarehe hiyo hiyo usiku MBOWE aliitwa Ikulu na kesho yake ulisikia NENO HAKI likitamkwa na viongozi wote. Na Akawa HURU!!!!
 
Aiseh!Haya!!!unafikiri MUNGU atatawla KWELI hapa tz!!?NISEME Sana nisije nikakosa mbele yake!!
 
Aliyepo anaenda kukabidhi kiti hicho Kwa aliepitishwa na Aliye juu, Mungu kutawala maana yake ni Kuwa Atakalia kiti mtu ambaye atamuuliza Mungu ktk kila jambo ktk kuwaongoza watu wake.
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi nikaota ndoto sauti kubwa ikiniambia ETI nimekuchagua kama nilivomchagua Magufuli nilishangaa sanaa!!Huwa si sahau HIYO ndoto hadi leo!!japo kwa Sasa kwa Dunia Hii kutawala kwa kutegemea MUNGU ni ngumu Sana !!ngoja Tuone!!
 
Ndipo HAO nyuki watakatifu watashuka na kumzuia asiingie kitalani na Huyo FDR NDIO achukue!!au Hao nyuki ni mabaka mabaka !!?
Nilikwambia ktk ulimwengu wa Roho hakuna SIRI, haijalishi alieingia huko kaingia Kwa UCHAWI au kaingia kupitia ROHO wa Mungu. kama unatunza kumbukumbu vzr utakumbuka she yahya alitabiri kuwa TANZANIA atakuja tawala RAIS mwenye jinsia ya kike.
 
Ndio na akasema Baada ya Hapo nchi itaenda UPINZANI!!ngoja Tuone labda chama cha UMOJA!!
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi nikaota ndoto sauti kubwa ikiniambia ETI nimekuchagua kama nilivomchagua Magufuli nilishangaa sanaa!!Huwa si sahau HIYO ndoto hadi leo!!japo kwa Sasa kwa Dunia Hii kutawala kwa kutegemea MUNGU ni ngumu Sana !!ngoja Tuone!!
Rudi Kwa Mungu kupitia Maombi uliza maelekezo zaidi juu ya KUCHAGULIWA kwako.
 
MAOMBI mzigo MZITO wenye kuchosha Sana!Naweza ingia nikaomba KAWAIDA Sana tena bila nguvu nyingi!!Mungu Huwa mbali Sana wakati Mwingine!!
No, Mungu yupo karibu zaidi ya mwenzi, mnaita Zero distance, na husema na Kila mtu ,kila wakati haijalishi unasikia au husikii, haijalishi unaelewa au huelewi, akiona huelewi mchana, usiku atakuletea ndoto. Nikwambie hili Kwa Habari ya Magufuli kukataa LOCKDOWN wakati Dunia nzima ikiwa ktk HOFU kuu, NI MUNGU alimpa ujasiri Ule. Fikiri angekuwa huyu aliepo tungekua ktk Hal Gani!!!
 
Mkuu nimefuatilia comment zako nimeshindwa kupita bila kusema chochote..
Mungu akubariki.
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Na pia alikuwa mlemavu wa polio.

But alifanya Mambo makubwa..
 
Back
Top Bottom