Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Never use this phrase “will never happen”

Kuna watu walidhani Magufuli atakuwa rais wa maisha. Sasa hivi wanagongwa na vitu vizito vichwani maana wenye CCM yao wamerudi kwa speed ya 7G

So, stay put. Anything is possible at any time
Hao watu wa ccm akili hawana
 
Jamaa ni Mungu au?. Kukopa JPM alikuwa akikopa kwa siri, hadharani anawakandia wazungu lakini akishuka anamfuata Dotto na kumwagiza akaonane na hao hao wazungu aliokuwa akiwatukana mbele ya hadhara.
Thibitisha kauli yako
 
Kama wananchi kwa umoja wetu bila kujali itikadi za vyama, tutaruhusu nchi hii kuwa ya Kifalme, basi Mwigulu atakuwa na akili sana kusema tuhamie Burundi, alafu sisi tuliobaki ndio wajinga na si yeye kama tunavyodhani mpaka sasa.
wenye nchi ni nyie wanaccm tu. Kwenye matatizo yenu msituweke
 
Muulize bosi wa hazina enzi hizo, Dotto James atakupa kila kitu.
Kukopa si jambo baya. Jambo baya ni kukopa na kupeleka hiyo pesa ya mkopo kwenye mambo yasiyo ya msingi kama kulipia ma-dowans au kuwalipa kina Blair kwa kisingizio cha kazi za ushauri ambazo zingeweza kufanywa na maelfu ya watanzania wenye utaalamu kuliko hao kina Blair.
 
Nenda hazina watakupa takwimu zote sahihi.
Taarifa zipo wazi BOT ni kuzisoma tu na niliwahi kuweka hapa
Jiwe sio raisi aloyekopa kuliko wote.
Aliyekopa kuliko wote ni kikwete,
Jiwe alikopa nyingi kwa muda mfupi(miaka mitano) lakini sio kwamba alikopa nyingi kuliko kikwete
NB
Deni sasa hivi lipo trillion 87, ongezeko la trillion 16 ndani ya mwaka mmoja. Speed ipo vizuri
 
Never use this phrase “will never happen”

Kuna watu walidhani Magufuli atakuwa rais wa maisha. Sasa hivi wanagongwa na vitu vizito vichwani maana wenye CCM yao wamerudi kwa speed ya 7G

So, stay put. Anything is possible at any time
Ya Mungu mengi..hadi leo sijui Jiwe alifikiria nini kuwa katili vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom