Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikwambia angalia digits za mwisho. 1933 digit ya mwisho ni 3.Namba zinagoma labda Kuna mwengine au hiyo namba 12 imeandikwa kimafumbo..
Alikwambia angalia digits za mwisho. 1933 digit ya mwisho ni 3.
So, anachokisema ni 2023-2025 (2 years). Hii timeframe haitoshi kuwa awamu. As such, huyu anaruhusiwa na Katiba kugombea na kuongoza kwa mihula miwili ya 5 years each: 2025-2035
Kwa lugha rahisi huyu ndugu anajenga hoja kwamba Hangaya ataachia by end of 2022 (kifo, kuondolewa, anything) na makamu wake atachukua Nchi hiyo 2023🙂
Katiba yetu kimsingi imempa unafuu sana Makamu kutwaa Nchi kiuraini
samia yupo hadi 2025.Mungu zuia hili lisitokeee,sijawahi kumuelewa Philip Mpango.
Badoo siamini kama Mpango atachukua kiti!!!nadhani ataondoka na Mama!!Alikwambia angalia digits za mwisho. 1933 digit ya mwisho ni 3.
So, anachokisema ni 2023-2025 (2 years). Hii timeframe haitoshi kuwa awamu. As such, huyu anaruhusiwa na Katiba kugombea na kuongoza kwa mihula miwili ya 5 years each: 2025-2035
Kwa lugha rahisi huyu ndugu anajenga hoja kwamba Hangaya ataachia by end of 2022 (kifo, kuondolewa, anything) na makamu wake atachukua Nchi hiyo 2023🙂
Katiba yetu kimsingi imempa unafuu sana Makamu kutwaa Nchi kiuraini
Mwakani anaweza kuondokasamia yupo hadi 2025.
Kama kweli unavyosema mlimuondoa Magufuli alafu ili hawa waje aisee mmezingua Sana kama mnataka kusaidia hii nchi aisee fanyeni kitu.Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
sio rahisi kama kunywa majiKwaheri Hangaya karibu philip
Ni mjinga tuu ndio atatekeleza maagizo ya kufurahisha genge la wahuni fulani.Najua chawa Wake wapo humu wakimtafuta wa kumvisha kengele!! LAKINI ukweli ni kwamba Mama amekiuka maagizo aliyopewa mwanzoni kabisa Operation ilipositishwa!! Nenda Kasome upya maagizo 18 aliyopewa mwanzoni kabisa!! amekiuka agizo la 11 kuhusu mikopo mikubwa!!Ndugai alitumwa aseme lakini IQ ndogo ya Mama hakutambua Ndugai kapata wapi ujasiri ule!!kaingia mkenge!!kama alivoingia mkenge kwenye gazeti la uhuru kuhusu kugombea kiti hapo 2025!!
Ngoja tusubiri,huwa siamini mambo bila kuona and it is not such easy
mambo yakoje? thubutuKuna mtu namwona atasusa kutuongoza kwa kadri mambo yanavyoenda.
Wewe ni mjinga hujui chochote.Unaweza nipa sababu kuu moja ya kuchukua mkopo wa covid? Na usivyoelewa unadhani Serikali ilichukua mkopo kwa sababu ya kujenga madarasa and other amenities?Hivi madarasa yanajengwa kwa mkopo kweli!!!???kazi ya wananchi tu na halmashauri tu kujipanga ndio iwe turufu ya kisiasa kuelekea 2025 eti unapalilia Njia kwa kujenga madarasa tena kwa mkopo wa mabilioni!!!poor thinking capacity aiseh very poor indeed!!!Tena kwa elimu ambayo imeshaonyesha kuwa ni mfu haizalishi ajira tena zaidi ya kuongeza hasira mitaani!!!
So alivyojua kwamba kuna watu wamepanga hayo basi amebweteka au?She's destined kuzingua, and they knew it kabla hajafika hapo. Alivyoanza alijaribu kuwa_prove wrong, lakini inaonekana zilikuwa ni mbio za sakafuni.
I guess she knows that too... that she won't be there for a long time.
Wameharibuje? weka ulinganifuMimi sijui mengi ila nimegundua kuna watu hawana akili za kung'amua mambo. Hivi ule ujasiri wa kuja public na kushangilia kama panya walioachiwa kutoka shimoni waliutoa wapi? Hata tu kwa unafiki hawakudhani ile ni provocation kwenye public?
Kisha baada ya kuharibu wamenywea ghafla, you can easily read them.
Ningeshangaa sana kama haya yangeachwa yalivyo...Hata hivyo precedence iliyotengenezwa Mungu mwenyewe atusaidie, its terrific!
kwa upekee upi huo alionao? au kutumbua tumbua tuu ama kuna lingine?Natamani Dr mwinyi awe Rais wa Tanzania.yupo vizuri Mara 100 ya huyu mama.
Marehemu hatakuwepo kwenye uzinduziBwawa la nyerere Bora lisiishe Mana sukuma gang watakwambia jpm hoyee. Mama mamiradi yote ya jpm achana nayo Mana ukimaliza tu sifa zote ni kwa jpm siyo wewe. Angalia pale salenda sukuma wanampongeza jpm badala yako